Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia anamkimbia SuguMbagala inatoa majimbo matatu
Nchi imejaa Wanasiasa wengi kuliko Viongozi.Naiona hatari kubwa sana ya usalama wa nchi mbele ya safari!View attachment 2608230
Picha: Spika Dkt. Tulia Akson
Spika wa Bunge, Tulia Ackson ni miongoni wa wabunge waliowasilisha maombi ya kugawa majimbo yao ili kuwa mawili kutokana na ukubwa na wingi wa watu.
Taarifa hiyo imetolewa leo bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Ummy Nderiananga wakati akijibu swali la nyongeza la mbunge wa Viti Maalum Sophia Mwakagenda.
Katika swali lake Mwakagenda ameuliza ni lini serikali italigawa jimbo la Mbeya mjini ambalo linaongozwa na Spika wa Bunge Tulia Ackson kutokana na ukubwa wake.
“Mheshimiwa Tulia Ackson alishawasilisha kwenye mamlaka nia ya kuomba jimbo hilo ligawanywe, serikali inatafakari maombi hayo na wakati utakapofika vigezo vitatazamwa,” amesema Ummy.
Katika swali la msingi mbunge wa Kilindi Omari Kigua ameuliza ni lini Serikali italigawa Jimbo la Kilindi kutokana na jiografia yake.
Naibu Waziri amesema kwa sasa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ipo katika maandalizi mbali mbali ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
“Hivyo kwa kuzingatia taratibu na vigezo ,muda wa kugawa majimbo utakapofika Tume itatoa tangazo rasmi kwa wadau wote wa uchaguzi juu ya kuanza kwa machakato wa ugawaji wa majimbo ili wadau wawasilishe maoni na maombi yao na hivyo kushughulikiwa kwa mujibu wa vigezo vilivyowekwa kikatiba,”amesema Ummy.
Ummy amesema majimbo mengi yameomba kugawanywa lakini mambo yanayotazamwa ni pamoja na ukubwa wa ukumbi wa bunge, idadi ya wabunge wa viti maalumu na jiongrafia za maeneo yaliyoomba kugawanywa.
Chanzo: Mwananchi
hakuna kugawa kwani kutaongeza ukubwa wa serikali.wabunge wakiona hawakubaliki majimboni huomba yagawanywe kama alivyofanya Jenista Mhagama.Jimbo la peramiho liligawanywa mara mbili yaani peramiho na madaba ili kumnusuru ktk anguko.View attachment 2608230
Picha: Spika Dkt. Tulia Akson
Spika wa Bunge, Tulia Ackson ni miongoni wa wabunge waliowasilisha maombi ya kugawa majimbo yao ili kuwa mawili kutokana na ukubwa na wingi wa watu.
Taarifa hiyo imetolewa leo bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Ummy Nderiananga wakati akijibu swali la nyongeza la mbunge wa Viti Maalum Sophia Mwakagenda.
Katika swali lake Mwakagenda ameuliza ni lini serikali italigawa jimbo la Mbeya mjini ambalo linaongozwa na Spika wa Bunge Tulia Ackson kutokana na ukubwa wake.
“Mheshimiwa Tulia Ackson alishawasilisha kwenye mamlaka nia ya kuomba jimbo hilo ligawanywe, serikali inatafakari maombi hayo na wakati utakapofika vigezo vitatazamwa,” amesema Ummy.
Katika swali la msingi mbunge wa Kilindi Omari Kigua ameuliza ni lini Serikali italigawa Jimbo la Kilindi kutokana na jiografia yake.
Naibu Waziri amesema kwa sasa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ipo katika maandalizi mbali mbali ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
“Hivyo kwa kuzingatia taratibu na vigezo ,muda wa kugawa majimbo utakapofika Tume itatoa tangazo rasmi kwa wadau wote wa uchaguzi juu ya kuanza kwa machakato wa ugawaji wa majimbo ili wadau wawasilishe maoni na maombi yao na hivyo kushughulikiwa kwa mujibu wa vigezo vilivyowekwa kikatiba,”amesema Ummy.
Ummy amesema majimbo mengi yameomba kugawanywa lakini mambo yanayotazamwa ni pamoja na ukubwa wa ukumbi wa bunge, idadi ya wabunge wa viti maalumu na jiongrafia za maeneo yaliyoomba kugawanywa.
Chanzo: Mwananchi
Gharama za kuendesha serikali zimekuwa kubwa kuliko gharama za maendeleoHuu utaratibu wa kugawa majimbo, wilaya na mikoa utatupeleka pabaya! Baadaye tutajikuta kila baada ya kilomita 30 tuna Jimbo au wilaya na kila baada ya kilomita 100 tuna mkoa.
Matokeo yake gharama za kuendesha serikali itakuwa kubwa kuliko mapato ya nchi!
Hauko serikali mwananvhi ana play part yake ndio maana unaona tunalipa Kodi kwahyo wananchi waanze kujijengea Hadi barabara Kazi ya Kodi zetu ni zipi?Serikali haiondoi Umasikini, ni jukumu la kila mwananchi kujiondoa kwenye umasikini
Hai kulishagawanywa mkuu ule upande wa CCM wengi ikawa Jimbo na wilayaMbeya mjini na Arusha Jiji kwanini wanakomaa kuyagawa haya majimbo? Viti maalum vinatosha hakuna haja ya kigawanya majimbo sababu ya mtu Fulani mwenye hofu ya kushindwa kwenye uchaguzi. Kwahiyo na Hai kutagawanywa!?
Na wanasiasa wanasikilizwa kuliko wataalamuNchi imejaa Wanasiasa wengi kuliko Viongozi.Naiona hatari kubwa sana ya usalama wa nchi mbele ya safari!
Mbona Zanzibar kila baada ya kilometer 2.5 kuna mbunge na kila baada ya kilometer 5 kuna mkoa ?.Huu utaratibu wa kugawa majimbo, wilaya na mikoa utatupeleka pabaya! Baadaye tutajikuta kila baada ya kilomita 30 tuna Jimbo au wilaya na kila baada ya kilomita 100 tuna mkoa.
Matokeo yake gharama za kuendesha serikali itakuwa kubwa kuliko mapato ya nchi!
Wasomi bado ni watumwa kwa wanasiasa - Joh MakiniWanawaza matumbo Yao tu kuliko kuondoa umaskini wa nchi, Yani wanataka idadi ya wabunge iongezeke huku umaskini ukiwa palepale.
We have useless and selfish politicians
Tulia hadi alifikia kushiriki ushirikina kisa ubungeWasomi bado ni watumwa kwa wanasiasa - Joh Makini
Ameona isiwe tabu wacha ajitengenezee kajimbo kake ka maisha 😀View attachment 2608230
Picha: Spika Dkt. Tulia Akson
Spika wa Bunge, Tulia Ackson ni miongoni wa wabunge waliowasilisha maombi ya kugawa majimbo yao ili kuwa mawili kutokana na ukubwa na wingi wa watu.
Taarifa hiyo imetolewa leo bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Ummy Nderiananga wakati akijibu swali la nyongeza la mbunge wa Viti Maalum Sophia Mwakagenda.
Katika swali lake Mwakagenda ameuliza ni lini serikali italigawa jimbo la Mbeya mjini ambalo linaongozwa na Spika wa Bunge Tulia Ackson kutokana na ukubwa wake.
“Mheshimiwa Tulia Ackson alishawasilisha kwenye mamlaka nia ya kuomba jimbo hilo ligawanywe, serikali inatafakari maombi hayo na wakati utakapofika vigezo vitatazamwa,” amesema Ummy.
Katika swali la msingi mbunge wa Kilindi Omari Kigua ameuliza ni lini Serikali italigawa Jimbo la Kilindi kutokana na jiografia yake.
Naibu Waziri amesema kwa sasa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ipo katika maandalizi mbali mbali ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
“Hivyo kwa kuzingatia taratibu na vigezo ,muda wa kugawa majimbo utakapofika Tume itatoa tangazo rasmi kwa wadau wote wa uchaguzi juu ya kuanza kwa machakato wa ugawaji wa majimbo ili wadau wawasilishe maoni na maombi yao na hivyo kushughulikiwa kwa mujibu wa vigezo vilivyowekwa kikatiba,”amesema Ummy.
Ummy amesema majimbo mengi yameomba kugawanywa lakini mambo yanayotazamwa ni pamoja na ukubwa wa ukumbi wa bunge, idadi ya wabunge wa viti maalumu na jiongrafia za maeneo yaliyoomba kugawanywa.
Chanzo: Mwananchi
Kadiri siku zinavyosonga huku akisikia sauti za Tume huru na katiba mpya huyu nguli wa sheria anazidi kukata tamaaView attachment 2608230