Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa

Huyu mama asikilizwe kaona mbali kwamba kwa Sugu lazima asugue. 😀 😀
 
Mbeya mjini na Arusha Jiji kwanini wanakomaa kuyagawa haya majimbo? Viti maalum vinatosha hakuna haja ya kigawanya majimbo sababu ya mtu Fulani mwenye hofu ya kushindwa kwenye uchaguzi. Kwahiyo na Hai kutagawanywa!?
 
Ni wazi Spika anatafuta suluhu dhidi ya Sugu.
Namshauri Sugu ikiwa jimbo litagawanywa kwa matakwa ya Spika asichukue form za kugombea hadi ajiridhishe Spika atagombea jimbo gani kati ya huo mgawanyo kisha ndio Sugu naye amfuate hukohuko alikochagua akapambane naye!.
 
Nchi imejaa Wanasiasa wengi kuliko Viongozi.Naiona hatari kubwa sana ya usalama wa nchi mbele ya safari!
 
hakuna kugawa kwani kutaongeza ukubwa wa serikali.wabunge wakiona hawakubaliki majimboni huomba yagawanywe kama alivyofanya Jenista Mhagama.Jimbo la peramiho liligawanywa mara mbili yaani peramiho na madaba ili kumnusuru ktk anguko.
 
Gharama za kuendesha serikali zimekuwa kubwa kuliko gharama za maendeleo
 
Serikali haiondoi Umasikini, ni jukumu la kila mwananchi kujiondoa kwenye umasikini
Hauko serikali mwananvhi ana play part yake ndio maana unaona tunalipa Kodi kwahyo wananchi waanze kujijengea Hadi barabara Kazi ya Kodi zetu ni zipi?
Hafu serikali inakuja na sera za kuondoa umaskini kulingana na population ulikimbia development studies 100 Nini chuo kikuu
 
Mbeya mjini na Arusha Jiji kwanini wanakomaa kuyagawa haya majimbo? Viti maalum vinatosha hakuna haja ya kigawanya majimbo sababu ya mtu Fulani mwenye hofu ya kushindwa kwenye uchaguzi. Kwahiyo na Hai kutagawanywa!?
Hai kulishagawanywa mkuu ule upande wa CCM wengi ikawa Jimbo na wilaya
 
Me huwa nikitulia napendaga kujiuliza ina maana serikali haijui changamoto za wananchi mpk iseme idadi kubwa ya watu wa jimbo fulani kuwa ndo inawakwamisha kufikisha maendeleo
 
Na mama samia inaonekana 2025 ataacha watu waumane wenyewe kwa wenyewe,jino kwa jino na chadema hakuna kubebwa
 
Ameanza kuhisi joto la Sugu. Kwamba iwapo watapewa level playing ground, Sugu atapita. Ilikuepusha Shari ngoja sugu apate Jimbo la mjini.
Wanasiasa hawajali Kama kitendo hichi kitaongeza gharama.
 
Sugu Moto Chini tantalilalalaaaaaaa ni Moto chini.

"Milango mliyofunga sasa inafunguka sitaki tena amani kwenye dili feki laki moja na nusu kitu gani ,hata nisiporap dili zangu ni milioni" - TAITA.

"93 nipo boda naitafuta south africa ,leo hii najichanganya tu america ,ndivyo maisha yanavyochange leo ndani ya terrano kesho vx au range" - JONGWE
 
Mbona Zanzibar kila baada ya kilometer 2.5 kuna mbunge na kila baada ya kilometer 5 kuna mkoa ?.
 
Wanawaza matumbo Yao tu kuliko kuondoa umaskini wa nchi, Yani wanataka idadi ya wabunge iongezeke huku umaskini ukiwa palepale.

We have useless and selfish politicians
Wasomi bado ni watumwa kwa wanasiasa - Joh Makini
 
Ameona isiwe tabu wacha ajitengenezee kajimbo kake ka maisha 😀
😛😀
 
Kadiri siku zinavyosonga huku akisikia sauti za Tume huru na katiba mpya huyu nguli wa sheria anazidi kukata tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…