Pre GE2025 Spika Dkt. Tulia na Wabunge wa CCM wagomea hoja ya watu kutekwa na kuuawa kujadiliwa. Wananchi Tuwaambie "YOU ARE FIRED"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
T-shirt na kofia bila kusahau kopo moja la pombe ya kienyeji hubadili kabisa akili za wadanganyika.

Bora kuzaliwa mende Ulaya.
Wabunge wengi waliomo humo hawakuingia kwa ridhaa ya wananchi.
 
Tulia yule anayetegemea kubebwa uchaguzi wa mbeya mjini ajadili kuhusu utekaji huku akijua watekaji ni akina nani!!!!! Mtakua mnafanya mzaha wa wazi. Kiti kitamu kile sasa hivi yeye na kizimkazi ni nilinde nikulinde
 
Hivi Hawa wawikilishi wa wananchi tuliwachagua sisi wananchi kweli?
Au ni watanzania kweli wenye kujua maisha ya watanzania wenzai?
Mbona kama tunacheza pembezoni mwa shimo refu?
 
Wameshindwa hata kuzuga kukubali kishingo upande kwel hamna wabunge hapo na kusanyiko la watu fulani wenye maslah yao na chama Chao sio maslahi ya wananchi!
 
Bangladesh...
 
Daah, wabongo kazi mnayo. Huyo ndiye spika na just twist kanuni atakavyo to thir favors? Hayo mauaji, utekaji n.k Tulia ni mnufaika?
 
Hakuna Bunge pale,bali kundi la wajinga na wapumbavu watumia Kodi za walalahoi.

Nimeshangaa sana maamuzi ya kipumbavu ya spika.
 
Hata mimi ningeikataa, tusitake kuumbuana ndani ya bunge.
 
kw amara ya kwanza ametumia kichwa kufikiri, hakika hata saa mbovu kuna wakati inakua sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…