Pre GE2025 Spika Dkt. Tulia na Wabunge wa CCM wagomea hoja ya watu kutekwa na kuuawa kujadiliwa. Wananchi Tuwaambie "YOU ARE FIRED"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Asichokielewa huyu speaker atanyoshwa na wana mbeya. Wao hupenda mtu anayeonekana kuwatetea. Chombo anachokiongoza kipo pale kuwasemea wananchi. Kinyume chake yeye amekua mkandamizaji wa wananchi.
 
Kwenye uchaguzi kuna njia halali na zisizo halali
 
Nampa ushauri tu . Hata uchaguzi wa kwanza vyama vingi 1995 ccm ilipigwa pamoja na kuiba kura . Tatizo ni kuamini ccm haiwezi kuwasemea, sasa huyu bibi yeye yuko front kukandamiza raia
 
Hii Wakuuu

Bunge sikuuzi halina hata mvutoo vikao vyake vimeanza kumbee daa

Tulia una kazi sana Dada mkubwa

Umelifanya Bunge kuwa mfuuu
 
Bunge ni lazima wakumbuke hawa wanaotekwa Zaidi ya kuwa ni Binadamu lakini ndio waliowapigia kura 2020

Kukataa Kujadili Ongezeko la Watu kutekwa na kupotea ni dhahiri Bunge halijui kwanini liliundwa

Jumaa Mubarak
 
Si mara ya kwanza bunge ku ignore mambo ya msingi, hii tabia ipigwe vita. Haswa spika anae ona kama ni utani wakati haya mambo ni serious
 
Bunge La CCM Kweli Linajua Kukomoa Wananchi
 
Kuna mdau alisema CCM watapigiwa kura na tembo wa Ngorongoro!!
 
Bunge ni lazima wakumbuke hawa wanaotekwa Zaidi ya kuwa ni Binadamu lakini ndio waliowapigia kura 2020

Kukataa Kujadili Ongezeko la Watu kutekwa na kupotea ni dhahiri Bunge halijui kwanini liliundwa

Jumaa Mubarak
ingekuwa tembo wanapotea yani ingeundwa task force matata. bila shaka tanzania tembo na simba wana thamani kuliko raia unless raia huyo awe mtoto wa kigogo
 
Bunge ni lazima wakumbuke hawa wanaotekwa Zaidi ya kuwa ni Binadamu lakini ndio waliowapigia kura 2020

Kukataa Kujadili Ongezeko la Watu kutekwa na kupotea ni dhahiri Bunge halijui kwanini liliundwa

Jumaa Mubarak
Tukiwaambiwa Tulia ni shetani mtuelewe
 
Bunge ni lazima wakumbuke hawa wanaotekwa Zaidi ya kuwa ni Binadamu lakini ndio waliowapigia kura 2020

Kukataa Kujadili Ongezeko la Watu kutekwa na kupotea ni dhahiri Bunge halijui kwanini liliundwa

Jumaa Mubarak
Unataka chadema waje kukusifia?
 
Back
Top Bottom