Ravalomanana JF-Expert Member Joined Sep 8, 2018 Posts 1,557 Reaction score 1,540 Aug 30, 2024 #101 Matulanya Mputa said: Sina mengi, wazazi ambao mna watoto najua mumeelewa mchana mwema narudi ofisini kuwajadili, na kupitia mafaili yenu siku njema Click to expand... Hata spika ana watoto wawili pia atakua amekuelewa
Matulanya Mputa said: Sina mengi, wazazi ambao mna watoto najua mumeelewa mchana mwema narudi ofisini kuwajadili, na kupitia mafaili yenu siku njema Click to expand... Hata spika ana watoto wawili pia atakua amekuelewa
Ravalomanana JF-Expert Member Joined Sep 8, 2018 Posts 1,557 Reaction score 1,540 Aug 30, 2024 #102 Roho mbaya ni tabia ya mtu haina uhusiano na kutokua na mtoto,hata huyo mnaemsema kua hana watoto ana watoto wawili ila hapendi show off SAGAI GALGANO said: Wanawake wengi ambao hawana uzazi wanakuwa na roho mbaya sana. Click to expand...
Roho mbaya ni tabia ya mtu haina uhusiano na kutokua na mtoto,hata huyo mnaemsema kua hana watoto ana watoto wawili ila hapendi show off SAGAI GALGANO said: Wanawake wengi ambao hawana uzazi wanakuwa na roho mbaya sana. Click to expand...
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Aug 30, 2024 #103 Ravalomanana said: Roho mbaya ni tabia ya mtu haina uhusiano na kutokua na mtoto,hata huyo mnaemsema kua hana watoto ana watoto wawili ila hapendi show off Click to expand... Na ndiyo maana nimesema wengi sijasema wote. Hapo kwenye show off ndiyo sijakuelewa.
Ravalomanana said: Roho mbaya ni tabia ya mtu haina uhusiano na kutokua na mtoto,hata huyo mnaemsema kua hana watoto ana watoto wawili ila hapendi show off Click to expand... Na ndiyo maana nimesema wengi sijasema wote. Hapo kwenye show off ndiyo sijakuelewa.
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 1,748 Reaction score 3,229 Aug 30, 2024 #104 Kukwepa tu majukumu. Hapo ilitakiwa wazuri wa mambo ya ndani, Mkuu wa usalama wa Taifa kuwekwa mtu kati kwa maswali konki konki mapaka akirudi kwa mke wake ashindwe kusimamisha jogoo kwa msongo wa mawazo
Kukwepa tu majukumu. Hapo ilitakiwa wazuri wa mambo ya ndani, Mkuu wa usalama wa Taifa kuwekwa mtu kati kwa maswali konki konki mapaka akirudi kwa mke wake ashindwe kusimamisha jogoo kwa msongo wa mawazo