Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,557
- 1,540
Hata spika ana watoto wawili pia atakua amekuelewaSina mengi, wazazi ambao mna watoto najua mumeelewa mchana mwema narudi ofisini kuwajadili, na kupitia mafaili yenu siku njema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata spika ana watoto wawili pia atakua amekuelewaSina mengi, wazazi ambao mna watoto najua mumeelewa mchana mwema narudi ofisini kuwajadili, na kupitia mafaili yenu siku njema
Wanawake wengi ambao hawana uzazi wanakuwa na roho mbaya sana.
Na ndiyo maana nimesema wengi sijasema wote. Hapo kwenye show off ndiyo sijakuelewa.Roho mbaya ni tabia ya mtu haina uhusiano na kutokua na mtoto,hata huyo mnaemsema kua hana watoto ana watoto wawili ila hapendi show off