Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

Paskali mpendwa wetu, usikaribishe kushambuliwa bila sababu. Watu watasema unafuta kiki. >>Unaposema Chadema wajifunze kufanya mambo yao kwa usahihi, unamaanisha wajifunze kutoka CCM? >>Hivi CCM imewahi kufanya mambo kwa usahihi? >>Bernard Kamillius Membe alipofukuzwa uanachama wa CCM, nani alinyanyua sauti kuwaambia CCM wafanye mambo kwa usahihi? >>Hizi ndimi mbili, kwa maana ya double standards, ni kwa sababu ya kuogopa yaliyompata Azori Gwanda, au ni kutafuta teuzi? >>Pamoja na ndimi mbili katika uandishi wako, nakubaliana na wewe juu ya Chadema kukosea sana kuekekeza lawama zake kwa Spika Tulia Ackson badala ya Tume ya Uchaguzi. >>Bunge halihusiki na mchakato wa Uchaguzi wa Wabunge, kwa nini Chadema wanalituhumu kuhusu Halima Mdee na wenzake badala ya Tume ya Uchaguzi iliyowasilisha majina kwa Spika? >>Hili linanishangaza sana. >>Swali kuu la kujiuliza ni kwa nini CCM na Bunge lake wanataka sana Wabunge wa Chadema wawepo Bungeni wakati CCM ilivuruga Uchaguzi ili Upinzani usiwepo Bungeni? >>CCM ilikurupuka kuvuruga Uchaguzi Mkuu bila kujua madhara yake? >>Ni muhimu sana CCM ijifunze kufanya mambo kwa usahihi.
 
Tanzania kuna Mwasiasa (Mwana-sihasa), wa Chama chochote, ambaye hatumii Chama chake kwa masilahi bunafsi? >>Lakini hili la namna majina ya akina Halima Mdee yalivyoenda Tume ya Uchaguzi linafikirisha sana. >>Kama Mbowe na Mnyika hawahusiki, basi wewe unayewatuhumu unastahili kusamehewa maana limekuwa kitendawili.
 
Kama Ndugai alikosea kwa Lissu na wale wa CUF Mlitaka na Tulia aendeleze makosa?
 
Zuio la mahakama halijatoka,tayari spika ameishafanya uamuzi kwa kutumia barua ya watuhumiwa,"spika sie tunaenda mahakamani usitufukuze"barua ya watuhumiwa imepewa uzito,lakini barua ya chama Haina uzito?
Taasisi ya bunge ilitii barua ya cuf kufukuza wabunge wake,lakini ya Chadema imekuwa ya moto!!
 

This is the best of Tanzania, msomi, mwana sheria, mwandishi Nguli, the summation is 'Trash'
 
Hataweza kukuelewa
 
Pascal hawezi kuliona hili just because analipwa
 
rafiki

Hoja hapa ni, forgery ya barua ya kwenda NEC, kutoka cdm, kwa nini haikuripotiwa polisi kama jinai? Au mpaka leo kwa nini hakuna aliyeenda polisi ku report?
 

rafiki

Hoja hapa ni, forgery ya barua ya kwenda NEC, kutoka cdm, kwa nini haikuripotiwa polisi kama jinai? Au mpaka leo kwa nini hakuna aliyeenda polisi ku report?
 

Sasa CDM mahaba nao hawaulizi hili kwa viongozi wao

hivi mbowe anawezaje kuwadanganya hawa wote? Ana nguvu ya ajabu sana
 
rafiki

Hoja hapa ni, forgery ya barua ya kwenda NEC, kutoka cdm, kwa nini haikuripotiwa polisi kama jinai? Au mpaka leo kwa nini hakuna aliyeenda polisi ku report?
Unateseka bure mangapi yamerepotiwa na bado hakuna yaliyofanyika?

Ndio maana the waliomba tume iwape barua ya utezi kutoka chama hawajapewa hadi leo. Sasa kuna jipya? Mtu kutolewa jela usiku na kuapishwa asubuhi kinyume cha sheria, unategemea nini?

Na hata speaker tulia kufanya maamuzi kabla ya mahakama unategemea fair trial.
Hivyo usiilaumu chadema bali waliofanikisha mchakato
 
Tuwekee hapa hicho kifungu cha sheria/ Katiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…