tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Kuna thread kusoma ni kupoteza muda tu. Kuna umuhimu JF waweke option ya kuignore mtu, ili usione thread zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paskali mpendwa wetu, usikaribishe kushambuliwa bila sababu. Watu watasema unafuta kiki. >>Unaposema Chadema wajifunze kufanya mambo yao kwa usahihi, unamaanisha wajifunze kutoka CCM? >>Hivi CCM imewahi kufanya mambo kwa usahihi? >>Bernard Kamillius Membe alipofukuzwa uanachama wa CCM, nani alinyanyua sauti kuwaambia CCM wafanye mambo kwa usahihi? >>Hizi ndimi mbili, kwa maana ya double standards, ni kwa sababu ya kuogopa yaliyompata Azori Gwanda, au ni kutafuta teuzi? >>Pamoja na ndimi mbili katika uandishi wako, nakubaliana na wewe juu ya Chadema kukosea sana kuekekeza lawama zake kwa Spika Tulia Ackson badala ya Tume ya Uchaguzi. >>Bunge halihusiki na mchakato wa Uchaguzi wa Wabunge, kwa nini Chadema wanalituhumu kuhusu Halima Mdee na wenzake badala ya Tume ya Uchaguzi iliyowasilisha majina kwa Spika? >>Hili linanishangaza sana. >>Swali kuu la kujiuliza ni kwa nini CCM na Bunge lake wanataka sana Wabunge wa Chadema wawepo Bungeni wakati CCM ilivuruga Uchaguzi ili Upinzani usiwepo Bungeni? >>CCM ilikurupuka kuvuruga Uchaguzi Mkuu bila kujua madhara yake? >>Ni muhimu sana CCM ijifunze kufanya mambo kwa usahihi.Wanabodi,
Leo tena nimepata fursa kuwaletea zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" na issue iliyo mezani ni Sakata la wabunge 19 wa Chadema, Chadema imewatimua ikijua it's done with them, Spika wa Bunge amewakingia kifua, hivyo wanaendelea na ubunge wao kusubiria aumuzi wa mahakama.
Humu JF, tuko wanachama wa aina nyingi, ila pia sisi wanachama wa JF, kuna baadhi yao ambao wana command much respect humu jukwaani, hivyo bandiko hili ni kuwajibu baadhi yao.
Siku zote Chadema imekuwa ikiendesha baadhi ya mambo yake kienyeji enyeji bila kufuata Katiba sheria taratibu na kanuni na haswa timua timua zake, japo Chadema ina katiba, na hiyo katiba imeweka miongozo yote ya kushughulikia nidhamu, kwa lengo la kutenda haki, lakini hakuna hata timua timua moja ambayo Chadema wamefuata katiba yake. Timua timua zote ni kinyume cha katiba yake, and always they have been doing that and go away.
This time around, kwenye hili la kina
Halima Mdee, Chadema imekwaa kisiki, tena kisiki cha mpingo, ukijikwaa kwenye kisiki cha mpingo, lazima utaumia wewe, hivyo hili ni Bandiko la kuwahimiza rafiki zangu wana Chadema, Kwa Chadema as chama as well as individually, they should always seek the truth & the truth will set them free. Uamuzi wa Spika wa Bunge, Dr. Tulia Akson kuwakingia kifua, wabunge waliowatimua kikangaroo ni uamuzi sahihi, yaani uamuzi very right, done at the right time and done right.
Ushauri wangu kwa Chadema ni from now, Chadema must learn, the hard way, not only how to do the right things, but also do them right!.
Mkuu Fundi Mchundo , vitu vingine sio vya kuuliza ni kutaka tuu kumuonea Spika.
Uchaguzi unasimamiwa na NEC, Wabunge wote wanapewa barua ya utambulisho ya NEC ndio wanatinga Bungeni. Sii kazi ya Bunge au Spika kuhoji wamepatikanaje, as long as Barua ya utambulisho ya NEC imemfikia then ni authentic letter, Bunge halina sababu yoyote kuhoji utambulisho wa NEC.
Humu JF wengi wana mahaba na Chadema hivyo they are just too blind to see jinsi inavyofanya mambo ya hovyo. Hili jambo ni Chadema wenyewe wameli mishandled toka mwanzo.
Naomba niunganishe na hoja ya Mkuu Nguruvi3 nizijibu kwa pamoja kuwaonyesha makosa ya Chadema ya kijinga kabisa.
Kwa faida ya wengine naomba nianzie mbali.
Paskali
- Hili jambo limeanzishwa na Chadema kususia kutambua matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita, ikasema hailitambui Bunge na haitambui Rais
- NEC ikatoa nafasi 18 za viti maalum, Chadema wakasema hawateua na hawana time.
- Mdee of course, accompanied by Bulaya, wakam consult a very high ranking Kigogo wa Chadema on the benefits of hizo nafasi 19, Kigogo huyo not only gave them a go ahead, but also facilitated them!.
- Introduction credentials from Chadema (a bone of contention) introduced the 19 to NEC.
- NEC wakawapa barua za utambulisho, authentic bonafide genuine certificates wakaziwasilisha Bungeni, hivyo Kibunge, hawa ni Wabunge halali kabisa!.
- Spika/Bunge has nothing to do with the process iliyotumika kumpata mbunge yoyote, as long as ameteuliwa na NEC.
- Kukitokea mgogoro wowote wa Uchaguzi, kwa mtu yoyote kupinga ushindi wa mgombea mahakamani, huyo Mbunge ataendelea kuwa mbunge mpaka mahakama itakapotoa hukumu.
- Na kukitokea mgogoro wa kichama, mbunge yoyote kufutwa uanachama na chama chake, anapaswa kupoteza ubunge wake automatically ila akiliarifu Bunge kuwa amepinga mahakamani kuvuliwa kwake uanachama, Bunge litamkingia kifua kusubiria aumuzi wa mahakama.
- Hivi ndivyo ilivyofanyika kwa Hamad Rashid Mohammed, David Kafulila na Zitto Kabwe. Na baada ya uamuzi wa mahakama, walivuliwa ubunge, Zitto alijivua na kuaga rasmi Bunge.
- Hivyo jana asubuhi kupitia Bunge live, Spika alizungumza huku nikimuona kwa macho yangu na kumsikia kwa masikio yangu, alitangulia kupokea taarifa ya kina Mdee kufungua kesi mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama, kwa kutaja siku, saa na dakika, kabla ya kupokea taarifa rasmi ya Chadema kuwafuta uanachama. Hivyo Spika Tulia yuko right na Bunge liko right kuwakingia kifua.
- Haya sasa ninayoendelea nayo ni yangu. Watu wengi humu wana mahaba niue na Chadema, na siku zote mapenzi yakizidi huleta upofu hivyo hamuoni makosa ya Chadema.
- Baada tuu ya Wabunge hao kuapishwa na Chadema kuwakana, sisi washauri wa bure tukawashauri Chadema wafanye a due process wameingiaje Bungeni, barua ya utambulisho toka Chadema imeandikwa na kusainiwa na nani.
- Hii due process ingebainisha kuna forgery, forgery ni jinai, walipaswa kuripoti polisi ili uchunguzi wa kijinai ufanyike na hiyo barua yao ya utambulisho, iwe authenticated na ingebainika ni forgery, wala sio Bunge bali ni NEC ndio wangetengua zile barua zao za uteuzi na wangevuliwa ubunge.
- Chadema ina katiba yake katiba hiyo imeweka sheria taratibu na kanuni za nidhamu. CC ni mamlaka ya nidhamu ya wabunge, kwanini waliliendesha shauri la wabunge hao Kikangroo bila kufuata taratibu na kanuni zao. Kwanini CC ya Chadema wawatimue wabunge hao bila kufanyika kwanza kwa a due process?!
- CC ya Chadema sio mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti wa Bawacha, Halima Mdee, mwisho wa mamlaka ya CC ya Chadema kwa Mwenyekiti wa Bawacha ni kumsimamisha tuu, lakini mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu, sasa hiyo CC ya Chadema, ilipata wapi mamlaka ya kumtiimua Halima Mdee?.
- Kikao cha Baraza Kuu kilipoitishwa kwanini hawakupeleka shauri la Mdee kwenye mamlaka yake sahihi ya nidhamu?.
- Baraza Kuu linapokaa kama mamlaka ya rufaa kwa wale wabunge 18, ukimuondoa Halima Mdee, kabla ya kupiga kura kuridhia maamuzi ya CC, walipaswa kujiridhisha kuwa taratibu zilifuatwa.
- Kile kikao cha CC ya Chadema mimi nimekiita CC ya Chadema imekaa kama a Kangaroo Court, na ule uamuzi wa CC ya Chadema, mimi niliuita ni uamuzi wa Kikangroo, kitendo cha Baraza Kuu kuyabariki maamuzi batili ya Kikangroo bila kufanyika kwanza kwa a due process, kumepelekea Baraza Kuu Chadema kufanya Ukangaroo as well.
- A way forward ni Mahakama ambayo ni a proper court itayapindua maamuzi ya Kikangroo ya CC ya Chadema yaliyobarikiwa na Baraza Kuu na kuamuru a due process ifanyike.
- Wito wangu kwa wapenzi wa Chadema, seek the truth and the truth will set you free. Iambieni Chadema ukweli, ndio mtaijenga Chadema kuwa ni chama mbadala kuireplace CCM. Kwa haya madudu na maroroso kama haya, Ikulu yetu wangeweza?.
Tanzania kuna Mwasiasa (Mwana-sihasa), wa Chama chochote, ambaye hatumii Chama chake kwa masilahi bunafsi? >>Lakini hili la namna majina ya akina Halima Mdee yalivyoenda Tume ya Uchaguzi linafikirisha sana. >>Kama Mbowe na Mnyika hawahusiki, basi wewe unayewatuhumu unastahili kusamehewa maana limekuwa kitendawili.Ukweli ni huu
CHADEMA ni Mbowe tu wengine holahola
Mbowe anajua na alifacilitate Kina Mdee kuwepo bungeni.
Mnyika alisaini na kutuma majina na nyaraka zingine NEC
CCya CHADEMA ilikosea kwenye process na ilivuka mipaka yake kikatiba ya CHADEMA
Katiba ya CHADEMA inakiuka katiba ya nchi. Kunyima mwana Chama kwenda mahakamani.
Mbowe si msafi CHADEMA na anaitumia Kwa maslahi binafsi.
MaCHADEMA upofu wa ushabiki umeua akili zao hata kutoona ukweli
CHADEMA kimepoteza mwelekeo na hakina tena diraa
Kama Ndugai alikosea kwa Lissu na wale wa CUF Mlitaka na Tulia aendeleze makosa?Magufuli hakukosea kukuita njaa maana njaa imekuharibu mpaka umekuwa mtu wa hovyo kabisa, Lissu alipinga kufukuzwa mahakamani kwanini Ndugai hakusubiri uamzi wa mahakama na wabunge wa CUF walipinga mahakamani kwanini Ndugai hakusubiri uamzi wa mahakama? umekuwa mtu wa hovyo sn unapewa rushwa unauza utu wako. Kwahiyo wewe unaijua katiba ya CHADEMA kuliko CHADEMA wenyewe? shame on you
Zuio la mahakama halijatoka,tayari spika ameishafanya uamuzi kwa kutumia barua ya watuhumiwa,"spika sie tunaenda mahakamani usitufukuze"barua ya watuhumiwa imepewa uzito,lakini barua ya chama Haina uzito?Wanabodi,
Leo tena nimepata fursa kuwaletea zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" na issue iliyo mezani ni Sakata la wabunge 19 wa Chadema, Chadema imewatimua ikijua it's done with them, Spika wa Bunge amewakingia kifua, hivyo wanaendelea na ubunge wao kusubiria aumuzi wa mahakama.
Humu JF, tuko wanachama wa aina nyingi, ila pia sisi wanachama wa JF, kuna baadhi yao ambao wana command much respect humu jukwaani, hivyo bandiko hili ni kuwajibu baadhi yao.
Siku zote Chadema imekuwa ikiendesha baadhi ya mambo yake kienyeji enyeji bila kufuata Katiba sheria taratibu na kanuni na haswa timua timua zake, japo Chadema ina katiba, na hiyo katiba imeweka miongozo yote ya kushughulikia nidhamu, kwa lengo la kutenda haki, lakini hakuna hata timua timua moja ambayo Chadema wamefuata katiba yake. Timua timua zote ni kinyume cha katiba yake, and always they have been doing that and go away.
This time around, kwenye hili la kina
Halima Mdee, Chadema imekwaa kisiki, tena kisiki cha mpingo, ukijikwaa kwenye kisiki cha mpingo, lazima utaumia wewe, hivyo hili ni Bandiko la kuwahimiza rafiki zangu wana Chadema, Kwa Chadema as chama as well as individually, they should always seek the truth & the truth will set them free. Uamuzi wa Spika wa Bunge, Dr. Tulia Akson kuwakingia kifua, wabunge waliowatimua kikangaroo ni uamuzi sahihi, yaani uamuzi very right, done at the right time and done right.
Ushauri wangu kwa Chadema ni from now, Chadema must learn, the hard way, not only how to do the right things, but also do them right!.
Mkuu Fundi Mchundo , vitu vingine sio vya kuuliza ni kutaka tuu kumuonea Spika.
Uchaguzi unasimamiwa na NEC, Wabunge wote wanapewa barua ya utambulisho ya NEC ndio wanatinga Bungeni. Sii kazi ya Bunge au Spika kuhoji wamepatikanaje, as long as Barua ya utambulisho ya NEC imemfikia then ni authentic letter, Bunge halina sababu yoyote kuhoji utambulisho wa NEC.
Humu JF wengi wana mahaba na Chadema hivyo they are just too blind to see jinsi inavyofanya mambo ya hovyo. Hili jambo ni Chadema wenyewe wameli mishandled toka mwanzo.
Naomba niunganishe na hoja ya Mkuu Nguruvi3 nizijibu kwa pamoja kuwaonyesha makosa ya Chadema ya kijinga kabisa.
Kwa faida ya wengine naomba nianzie mbali.
Paskali
- Hili jambo limeanzishwa na Chadema kususia kutambua matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita, ikasema hailitambui Bunge na haitambui Rais
- NEC ikatoa nafasi 18 za viti maalum, Chadema wakasema hawateua na hawana time.
- Mdee of course, accompanied by Bulaya, wakam consult a very high ranking Kigogo wa Chadema on the benefits of hizo nafasi 19, Kigogo huyo not only gave them a go ahead, but also facilitated them!.
- Introduction credentials from Chadema (a bone of contention) introduced the 19 to NEC.
- NEC wakawapa barua za utambulisho, authentic bonafide genuine certificates wakaziwasilisha Bungeni, hivyo Kibunge, hawa ni Wabunge halali kabisa!.
- Spika/Bunge has nothing to do with the process iliyotumika kumpata mbunge yoyote, as long as ameteuliwa na NEC.
- Kukitokea mgogoro wowote wa Uchaguzi, kwa mtu yoyote kupinga ushindi wa mgombea mahakamani, huyo Mbunge ataendelea kuwa mbunge mpaka mahakama itakapotoa hukumu.
- Na kukitokea mgogoro wa kichama, mbunge yoyote kufutwa uanachama na chama chake, anapaswa kupoteza ubunge wake automatically ila akiliarifu Bunge kuwa amepinga mahakamani kuvuliwa kwake uanachama, Bunge litamkingia kifua kusubiria aumuzi wa mahakama.
- Hivi ndivyo ilivyofanyika kwa Hamad Rashid Mohammed, David Kafulila na Zitto Kabwe. Na baada ya uamuzi wa mahakama, walivuliwa ubunge, Zitto alijivua na kuaga rasmi Bunge.
- Hivyo jana asubuhi kupitia Bunge live, Spika alizungumza huku nikimuona kwa macho yangu na kumsikia kwa masikio yangu, alitangulia kupokea taarifa ya kina Mdee kufungua kesi mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama, kwa kutaja siku, saa na dakika, kabla ya kupokea taarifa rasmi ya Chadema kuwafuta uanachama. Hivyo Spika Tulia yuko right na Bunge liko right kuwakingia kifua.
- Haya sasa ninayoendelea nayo ni yangu. Watu wengi humu wana mahaba niue na Chadema, na siku zote mapenzi yakizidi huleta upofu hivyo hamuoni makosa ya Chadema.
- Baada tuu ya Wabunge hao kuapishwa na Chadema kuwakana, sisi washauri wa bure tukawashauri Chadema wafanye a due process wameingiaje Bungeni, barua ya utambulisho toka Chadema imeandikwa na kusainiwa na nani.
- Hii due process ingebainisha kuna forgery, forgery ni jinai, walipaswa kuripoti polisi ili uchunguzi wa kijinai ufanyike na hiyo barua yao ya utambulisho, iwe authenticated na ingebainika ni forgery, wala sio Bunge bali ni NEC ndio wangetengua zile barua zao za uteuzi na wangevuliwa ubunge.
- Chadema ina katiba yake katiba hiyo imeweka sheria taratibu na kanuni za nidhamu. CC ni mamlaka ya nidhamu ya wabunge, kwanini waliliendesha shauri la wabunge hao Kikangroo bila kufuata taratibu na kanuni zao. Kwanini CC ya Chadema wawatimue wabunge hao bila kufanyika kwanza kwa a due process?!
- CC ya Chadema sio mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti wa Bawacha, Halima Mdee, mwisho wa mamlaka ya CC ya Chadema kwa Mwenyekiti wa Bawacha ni kumsimamisha tuu, lakini mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu, sasa hiyo CC ya Chadema, ilipata wapi mamlaka ya kumtiimua Halima Mdee?.
- Kikao cha Baraza Kuu kilipoitishwa kwanini hawakupeleka shauri la Mdee kwenye mamlaka yake sahihi ya nidhamu?.
- Baraza Kuu linapokaa kama mamlaka ya rufaa kwa wale wabunge 18, ukimuondoa Halima Mdee, kabla ya kupiga kura kuridhia maamuzi ya CC, walipaswa kujiridhisha kuwa taratibu zilifuatwa.
- Kile kikao cha CC ya Chadema mimi nimekiita CC ya Chadema imekaa kama a Kangaroo Court, na ule uamuzi wa CC ya Chadema, mimi niliuita ni uamuzi wa Kikangroo, kitendo cha Baraza Kuu kuyabariki maamuzi batili ya Kikangroo bila kufanyika kwanza kwa a due process, kumepelekea Baraza Kuu Chadema kufanya Ukangaroo as well.
- A way forward ni Mahakama ambayo ni a proper court itayapindua maamuzi ya Kikangroo ya CC ya Chadema yaliyobarikiwa na Baraza Kuu na kuamuru a due process ifanyike.
- Wito wangu kwa wapenzi wa Chadema, seek the truth and the truth will set you free. Iambieni Chadema ukweli, ndio mtaijenga Chadema kuwa ni chama mbadala kuireplace CCM. Kwa haya madudu na maroroso kama haya, Ikulu yetu wangeweza?.
Wanabodi,

Hataweza kukuelewaDu Paschal tena,
Swali rahisi sana, wakati Halima na wenzake wameenda bungeni juzi walikua ni wa chama gani mpaka speaker atoe maamuzi ya kuwalinda?
Kwa upande mmoja chama kimewafukuza na kutoa taarifa bungeni. Bunge ilipaswa kufuata sheria ....mbunge lazima atokane na chama.
Upande wa pili waathirika walisema nao wamepata taarifa za kufukuzwa kwao ila wana nia ya kwenda mahakani. Hivyo hawakuwa na amri ya mahakama inayomzuia speaker kuwafukuza.
Je speaker alipata wapi mamlaka au sheria ipi kuwaacha bungeni kabla ya amri ya mahakama?
Je nani mwenye maamuzi ya hovyo?
Refer case ya Lema, wabunge wa CUF etc.
Paschal hujadeclare interest kwamba wewe ni CCM hivyo andiko lako liko biased na sababu zipo wazi na ndio maana utapingwa sana hapa. Pia una ajenda mbaya dhidi ya Chadema kwani kwa siku nne mfululizo umeandika mada moja umebadili jina la title. Hata kama ni spinning kuna njia ya kufanya na sio kwa njia unayotumia ipo wazi mno.
Uteuzi hauji kwa kuandika biased ideas bali kutumia critical thinking plus proffessionalism
Pascal hawezi kuliona hili just because analipwaZuio la mahakama halijatoka,tayari spika ameishafanya uamuzi kwa kutumia barua ya watuhumiwa,"spika sie tunaenda mahakamani usitufukuze"barua ya watuhumiwa imepewa uzito,lakini barua ya chama Haina uzito?
Taasisi ya bunge ilitii barua ya cuf kufukuza wabunge wake,lakini ya Chadema imekuwa ya moto!!
rafikiMagufuli hakukosea kukuita njaa maana njaa imekuharibu mpaka umekuwa mtu wa hovyo kabisa, Lissu alipinga kufukuzwa mahakamani kwanini Ndugai hakusubiri uamzi wa mahakama na wabunge wa CUF walipinga mahakamani kwanini Ndugai hakusubiri uamzi wa mahakama? umekuwa mtu wa hovyo sn unapewa rushwa unauza utu wako. Kwahiyo wewe unaijua katiba ya CHADEMA kuliko CHADEMA wenyewe? shame on you
Du Paschal tena,
Swali rahisi sana, wakati Halima na wenzake wameenda bungeni juzi walikua ni wa chama gani mpaka speaker atoe maamuzi ya kuwalinda?
Kwa upande mmoja chama kimewafukuza na kutoa taarifa bungeni. Bunge ilipaswa kufuata sheria ....mbunge lazima atokane na chama.
Upande wa pili waathirika walisema nao wamepata taarifa za kufukuzwa kwao ila wana nia ya kwenda mahakani. Hivyo hawakuwa na amri ya mahakama inayomzuia speaker kuwafukuza.
Je speaker alipata wapi mamlaka au sheria ipi kuwaacha bungeni kabla ya amri ya mahakama?
Je nani mwenye maamuzi ya hovyo?
Refer case ya Lema, wabunge wa CUF etc.
Paschal hujadeclare interest kwamba wewe ni CCM hivyo andiko lako liko biased na sababu zipo wazi na ndio maana utapingwa sana hapa. Pia una ajenda mbaya dhidi ya Chadema kwani kwa siku nne mfululizo umeandika mada moja umebadili jina la title. Hata kama ni spinning kuna njia ya kufanya na sio kwa njia unayotumia ipo wazi mno.
Uteuzi hauji kwa kuandika biased ideas bali kutumia critical thinking plus proffessionalism
CHADEMA kama haiwezi kufuata katiba yao wenyewe wataweza kweli kufuata katiba ya nchi wakiwa na madaraka?😁
Anyway; mimi binafsi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa wabunge 19 walifoji barua ya chama kwa sababu kwa jinsi tinavyoinua CHADEMA kama kweli halima na wenzake walifoji barua ingekuwa tayari wameshawafungulia kesi tangu mwanzo.
Unateseka bure mangapi yamerepotiwa na bado hakuna yaliyofanyika?rafiki
Hoja hapa ni, forgery ya barua ya kwenda NEC, kutoka cdm, kwa nini haikuripotiwa polisi kama jinai? Au mpaka leo kwa nini hakuna aliyeenda polisi ku report?
CHADEMA hawana shida na akina Halima kuwa wabunge lakini wasitumie jina la chama chaorafiki
Hoja hapa ni, forgery ya barua ya kwenda NEC, kutoka cdm, kwa nini haikuripotiwa polisi kama jinai? Au mpaka leo kwa nini hakuna aliyeenda polisi ku report?
Mpuuzi wewe unaweza kushindwa kutoa maamuzi bila stop order ya mahakama?Kama Ndugai alikosea kwa Lissu na wale wa CUF Mlitaka na Tulia aendeleze makosa?
Pamoja na maza ako tulikuwa woteWe andika ujinga wooote lakini tushakujua ulikuwa mmoja wa wasaidizi wa yule chizi Musiba
Huenda hili ni ukweli, kuna kijiwe fulani cha kahawa, walizungumza kama ulivyoambiwa na X.Mkuu hawa watu hawa hatari
Tuwekee hapa hicho kifungu cha sheria/ Katiba.Mkuu,
Sheria inamtaka speaker kuwaondoa hao wabunge kama barua imetoka kwenye mamlaka halali ya chama.
Maswala ya haki ilitendeka au haikutendeka sio kazi ya speaker alipaswa kuachia mahakama iamue.
Kama walikua wanataka kuendelea kubaki walipaswa wampelekee speaker amri ya mahakama inayomtaka speaker asifanye maamuzi ya kuwaondoa bungeni mpaka mahakama itakapofanya uamuzi.
Je speaker ni chombo cha kutoa haki? Je huoni alichofamya speaker ni kuingilia mamlaka zingine? Je amewaacha kwa kutumia mamlaka ipi kisheria? Maana hata tamko lake hakusema kisheria.
Kwa speaker kutowafukuza ilihali hakuwa na mari ya mahakama speaker amevunja sheria. Pili kusema haki haijatendeka hivyoanaiachia mahakama ni kuiprempty mahakama kwamba haki haijafanyika wakati yeye sio chombo cha haki.
Mari ya mahakama iliyotolewa haina maana yeyote maana tayari speaker alishafanya maamuzi ya kuwalinda.
Kapewa rushwa na Halima ndiyo maana amekomaa, nimekuja kumdharau sn huyu jamaa kumbe hakuna mkate mgumu mbele ya chaiUnazeeka vibaya we babu ,boya kabisa kichwani
Ilikuwa awamu ipi?Mbona hiyo Katina haikumlinda Lisu? Aliposhambulia Kuna watu mazezeta Sana hii nchi.