Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

Wewe ni mjinga. Soma tena.
 
Nachokiona hata kwenda mahakamani ni ushauri wa Mbowe kuzunguka maamuzi ya cc na mk... ili aendelee kula ruzuku. Time will tell.
 
Mkuu tusidanganyane kwenye hivi vyama vyetu vya siasa Mwenyekiti ndio kila kitu iwe CCM,CUF,ACT nk
 
Mkuu Pascal Mayalla nina moja lakukuambia kuwaita watu wanaohoji Suala la spika kuwakingia kifua Kina Mdee eti kua wana mahaba yaliyopitiliza na Chadema ndio maana hawaoni uovu wa Chadema....the same na wewe tuseme you are pure Anti-Chadema because day after day hujaandika kitu hata mstari mmoja kwenye thread yako kusifu Chadema so because wewe ni una NONGWA na Chadema huwezi kuona udhalimu unaofanywa na serikali y CCM kwa sababu na wewe ni mwana-Ccm mzuri kama walivyo wana-Chadema watiifu kwa Chama chao..
 
Sasa CDM mahaba nao hawaulizi hili kwa viongozi wao

hivi mbowe anawezaje kuwadanganya hawa wote? Ana nguvu ya ajabu sana
Mbowe amekamata akila za wasaidizi wake aseh.. hivi ktk akili ya kawaida kabisa inawezekanaje kwa miaka yote hii miwili CHADEMA ishutumu kuwa barua ya akina Halima ni feki lakini hawajapeleka taarifa ktk vyombo vya sheria

Maana forgery ni jinai... kuna kitu wanakijua; huenda barua ya akina mdee ni OG
 
Kwa mada za kinafiki huwa unaongoza sana. Ukiwa mnafiki hata uongee ukweli hakuna atakae kuamini. Punguza unafiki kaka hakuna asiye jua kuwa wameingia bungeni kinyemela, hvyo kinachofanyika saa hivi ni kutumia ubabe ili waendelee kubaki bungeni na hakuna atakaeshangaa mahakama ikiruhusu waendelee kuwa wabunge.
Mwisho wa unafiki ni kifo.
 
Kwanza inabidi tujue,aliyefoji barua kutoka Chadema kwenda NEC ni. Nani?,hili swali Chadema Bado hamjajibu.

Halijajibiwa kwa sababu ni swali ndezi. Unakumbuka Spika Ndugai na habari ya “Bunge halipokei vipeperushi”? Hicho kipeperushi kilikuwa ni barua ya katibu mkuu Mnyika akiyaka kujua na kupatiwa nakala ya Barua ya Chadema kwa NEC ikiwatambulisha wanachama hao kama wabunge viti maalumu.

Kwangu mimi nisiye hata mwanacha wa chama chochote cha siasa ni kujua tu kama taratibu zilifuatwa. Na kwa kuwa swala liko Mahakamani, Chadema watapata nafasi ya kujua ukweli huo. Jambo hili liko sehemu sahihi.
 
Wanabodi,.
  1. A way forward ni Mahakama ambayo ni a proper court itayapindua maamuzi ya Kikangroo ya CC ya Chadema yaliyobarikiwa na Baraza Kuu na kuamuru a due process ifanyike.
Paskali
Kwa hii hukumu ya Leo, nimepigwa bonge la surprise!
Wanabodi,
Baadhi ya mabandiko yangu sio mabandiko ya average mind ni mabandiko ya deep thinkers, moja ya mabandiko hayo ni Bandiko hili Ushauri wa Bure: Ukijikwaa ukaanguka, usiangalie tu pale ulipoangukia, bali angalia pale ulipojikwaa

Maadam Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi ya kina Mdee, hiki nilicho andika kwenye bandiko hili, sasa ndio kinakwenda kutokea!. It will be very devastating and disturbing!.

Wale ambao sio average mind, wana uwezo to connect the dots, baada ya Chadema kumtimua Zitto kwa dhulma, there are bad things that happed to Chadema na wahusika wa kadhia ya Zitto, but no one connected the dots and linked the consequences, hivyo sasa baada ya Chadema kuwatimua hawa Wabunge 19, naombeni sasa watch closely what will happen to Chadema and the main players and connect the dots.

God forbids!.
P.
 
Nyakati hubadilika usiishe kwa


Bro Mayalla, najua bandiko lako uliandika kwa marejeo au trend zilizopita au niseme kwa uzoefu.
Lskini nakukumbusha kuwa kila zama zina mambo mapya, shetani wa jana sio wa leo.

Siamini kuwa hawa akina dada wanaweza kuwa na nguvu ya kyisumbua cdm kwani anguko lao lilikuwa wazi hivyo hata jamii haiwezi kuwatetea isipokua mjinga pekee.

Pili..aliwahi kusema Baginza kuwa sumu haiui mara mbili.
Akatolea mfano kuwa mtu aliyetoka ccm kuja upinzani aweza kuisumbua ccm lkn akirudi ccm makali yake yatakuwa yamekufa hivyo ni sawa na sumu isiyoua.

Mdee amejiua kisiasa kijinga sana, kila mtu anajua fika kuwa kwa mlango wa nyuma walirubuniwa na kula kitu kidogo wasaliti chama.

Kwa muktadha huu usilinganishe kuondolewa kwa Zitto na Halima.
Mazingira ya Zitto ya kutokuwa wazi yalimbeba lkn sio hawa.

Usiishi kwa jana kesho itakushangaza kama ulivyoshangaa leo.
 
Pasko chutama tu
 
Halima sijui amemlipa bilioni ngapi huyu pasko hadi kujitoa ufahamu kiasi hiki
 
Umetia aibu sana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…