ong'wafaza
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 247
- 107
Dr.Emmanuel NchimbiDada Tulia anaenda kuwa speaker rasmi. Wanawake hoyee
Tatizo Bunge lenyewe ni la chama kimoja, wenzie wangeitisha kura ya kumtoa tu.Ni muhimili unaojitegemea akilini ila kimaandishi sivyo hivyo😅 raisi ni supreme power😅
Ni uhuru wake wa kuchaguaMbona kaiandika kwa herufi kubwa!?
tunaposema Tz hakuna bunge huwa hamuelewi?leo mmepata mfano haiHabar jf
Kwa mujibu wa Katiba yetu kazi kubwa ya bunge ni kuisimamia serikali, iweje leo spika kujipendekeza kwa serikali??
Swala la Dugai kujiuzulu kisa kamkosea mkuu wa serikali ni udhaifu mkubwa wa Bunge

chama ndio dhaifu kwakuwa kimemtaka ajiuzuru nahapa katiba mpya nimuhimu kama spika asingetokana na chama hii aibu isingetokea hapa serikali ya ccm imeonesha udhaifu mwingine na kubana katiba.Habar jf
Kwa mujibu wa Katiba yetu kazi kubwa ya bunge ni kuisimamia serikali, iweje leo spika kujipendekeza kwa serikali??
Swala la Dugai kujiuzulu kisa kamkosea mkuu wa serikali ni udhaifu mkubwa wa Bunge
Hakika tuna kivuli cha bunge na sio Bunge.tunaposema Tz hakuna bunge huwa hamuelewi?leo mmepata mfano hai
Binafsi sikutegemea...Huyu ameng'atuka ila roho itakuwa inamuuma sana..[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani sikumtegemea kirahisi rahisi hivi jamani
Huyo atakuwa naibu speakerDr.Emmanuel Nchimbi