Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

IMG-20220106-WA0042.jpg
 
Waziri mkuu alipojiuzuru, mawaziri wote ilibidi waondoke maana kiongozi wao ameondoka; je kwa spika kujiuzuru nini nafasi ya wabunge?
 
Masahihisho : Aliyejuzulu hawezi kuwa na cheo kilekile , andika hivi , JOB NDUGAI AJIUZULU USPIKA WA BUNGE , Hilo neno la mwanzo la SPIKA KABLA YA JOB NDUGAI LIONDOLEWE
 
Pamojana yote ile hoja ya utitiri wa madeni bado inasimama palepale. Samia aeleze kwanini anakopa kwenda kulipa mkopo.
 
Habar jf
Kwa mujibu wa Katiba yetu kazi kubwa ya bunge ni kuisimamia serikali, iweje leo spika kujipendekeza kwa serikali??

Swala la Dugai kujiuzulu kisa kamkosea mkuu wa serikali ni udhaifu mkubwa wa Bunge
chama ndio dhaifu kwakuwa kimemtaka ajiuzuru nahapa katiba mpya nimuhimu kama spika asingetokana na chama hii aibu isingetokea hapa serikali ya ccm imeonesha udhaifu mwingine na kubana katiba.
 
Back
Top Bottom