Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Hapana huyo naye aondoke ije fresh team ambayo itasimamia bunge sio chama.

Watampa tu wale mandulele...na huenda likaja shinikizo la 'kijinga' la mihimili miwili iongozwe na wanawake

Kama ilivyokuwa alipoondoka Makinda, Job akachukua kiti...
 
Ni kweli kabisa kesho najivua ubunge....
ww unadhani itakuwa rahisi nitoke uspika alafu nibakiwe na ubunge wa kawaida inaingia akilini kweli!!???
Aache states car, gari lenye utambulisho kuwa katika watu watano muhimu nchini naye alikuwepo!
Huruma, cheo ni dhamana, mwendakuzimu alimpotosha!
Abakie kuwa mwanachama, coz mama mwenyekiti, akimuitia kikao na kuleta agenda ya kumuadabisha, Angedhalilika zaidi.

Everyday is Saturday......................................😎
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unachekesha!

Bunge ndio linaenda kuwa kibogoyo mazima maana spika ajae ataogopa akileta fyoko ataambiwa ana chuki na ana mkwamisha mama.
Ni kweli Nina furaha kweli kweli.
 
Hatimae imekuwa , Yule joka mkuu ameanguka. Babeli imeanguka na waliokuwamo ndani yake hawatapona asilani, aliyeumiza wengine ,aliyedharau maumivu ya wengine,aliyewavua ubunge watu waliojeruhiwa kwa risasi wakiwa I.C.U aliyewapiga bakora waliopingana nae,hatimae nae ameanguka kwa kishindo kikuu.

Asante CCM kwa Sasa mtaelewa umuhimu wa wapinzani bungeni, bunge hili lilinoga Sana wakati ule wa miamba akina John Heche, Joseph Mbilinyi, Freeman Mbowe nk .

Job Ndugai alijua ana nguvu kuliko Serikali ,alijua yeye ni mwamuzi wa mwisho, ameumiza watu wengi na kudhulumu haki za wengi, kinachomuondoa Ndugai ni Mungu mwenyewe

Asante Mungu kwa kuwa kila aliyebeba kusudi baya katika nchi yetu umemuondoa kwa njia unazoweza wewe

Asante Mungu kwa kuipenda nchi yetu, tupe Spika atakaesimamia mapenzi yako juu ya nchi yetu ona Sasa mtego wa panya umekunasa na kuondoa kabisa heshima yako

Asante Mungu
 
Nchi inayumba yumba,haijatulia kabisa toka Magufuli aondoke.
Kama haikuyumba alipokufa Magu basi hilo unalotamani halitokuja kutokea kamwe! Wewe na huyo mwenzio muelewe Sasa Kwa nini wanajiita chama Dola, na hakuna wa kuiyumbisha Dola! Baba yako kaomba msamaha na kujiuzulu juu, anasubiriwa mwingine alete chokochoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…