Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Oh sawaNaibu Spika lazima awe mbunge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh sawaNaibu Spika lazima awe mbunge
Probably spika mpya atakua Tulia...
Hapana huyo naye aondoke ije fresh team ambayo itasimamia bunge sio chama.
Unapingana na ukweli?Hawezi jiuzulu. Huu upepo utapita na ataendelea kuwa speaker hadi 2025.
Ameona ugumu wa kuwa mpinzani, week moja tu kaachia ngaziBinafsi sikutegemea...Huyu ameng'atuka ila roho itakuwa inamuuma sana..[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenyewe wazee wa fursa, wanaangalia Rais anataka nini, siku Samia akijitokeza akasema hawataki COVID utauona moto wataopelekewa!Kwa tabia ya wana ccm lazima watawakali kooni hao covid hadi watolewe bungeni
Aache states car, gari lenye utambulisho kuwa katika watu watano muhimu nchini naye alikuwepo!Ni kweli kabisa kesho najivua ubunge....
ww unadhani itakuwa rahisi nitoke uspika alafu nibakiwe na ubunge wa kawaida inaingia akilini kweli!!???
Haija pauka ila nayenyewe inafuraha isiyo kifani ndio maana😃😃😃.Hiyo barua ya kujiuzulu imeshaforwadiwa mpaka imeshapauka 😂😂😂
Wanaopaswa kumkosoa raisi ni wapinzani tuPicha niliyoipata mimi ni kuwa Rais hakosolewi na mtu au mamlaka yoyote ile...
Ni kweli Nina furaha kweli kweli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unachekesha!
Bunge ndio linaenda kuwa kibogoyo mazima maana spika ajae ataogopa akileta fyoko ataambiwa ana chuki na ana mkwamisha mama.
Kama haikuyumba alipokufa Magu basi hilo unalotamani halitokuja kutokea kamwe! Wewe na huyo mwenzio muelewe Sasa Kwa nini wanajiita chama Dola, na hakuna wa kuiyumbisha Dola! Baba yako kaomba msamaha na kujiuzulu juu, anasubiriwa mwingine alete chokochokoNchi inayumba yumba,haijatulia kabisa toka Magufuli aondoke.