Naona kama anatupiwa virago kwenye listi inayo kuja kesho kutwahivi wewe hujui ccm ndio kila kitu? kuna katiba nchi hii? mkiambiwa tunataka katiba mpya mnabambkia kesi za ugaidi, wacha waparulane wenyewe kwa wenyewe, Majaliwa kaa mguu sawa
Tutamhukumu kama alivyohukumiwa mtangulizi wake.Hujui hata unachoandika yaani huoni kama huyo spika ajaye ndio atakuwa meaningless kabisa maana hatosema kitu hata kama ni kibaya kwa kuogopa yaliyomkuta mtangulizi wake, au democracy ni kila asemacho/afanyacho Rais kila mtu lazima aseme YES
Tanzania inapoteana na watanzania wenyewe wapo tu as if kila mtu ameisusa nchi so aliye on top anafanya anachojisikia bila bughuza yoyote. Ila twende tu Time will tell
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikitokea anahitaji matibabu ya india sijui itakuwaje?
Hawezi jiuzulu. Huu upepo utapita na ataendelea kuwa speaker hadi 2025.
At least angebaki na heshima kama angejiuzulu bila ya kuomba hata huo msamaha, ule msamaha umemfanya aonekane weak sanaAmechelewa kuchukua maamuzi, ule msamaha alioomba ilitakiwa uendane na kujiuzulu.
Alpha na Omega ni Mungu pekeeeNchi zote iko hivyo, hakuna nchi RAIS ASIWE ALPHA NA OMEGA.
Tena haraka sanaKuna lile soko jipya stand Dodoma linaitwa ndugai ni wakati sasa mamlaka ilibadili jina hilo.
Mungu yupo alivyotenda Kwa watanzania , atatenda kwake pia.Ikitokea anahitaji matibabu ya india sijui itakuwaje?
Unalia nini? Umeambiwa kajiuzulu, au Kuna mahali wamesema wamemfukuza? Kajiondoa mwenyewe baada ya kujiona ni pumbavuKosa la ndugai liko wapi kwa mjibu wa sheria? Je, ndugai kavunja katiba katika kutoa maoni yake...!
Kosa la ndugai, linapaswa liwe la kichama na si kama anavyosakamwa aachie ngazi!
Kwa katiba ipi na sheria ipi inayodai sipika akitoa maoni yake kuhusu jambo la kiserikali atawajibika/wajibishwa?
Chama ndicho chaweza kumwajibisha ikiwa ziko taratibu za aina hiyo ila si kwa kumvua madaraka ya usipika!
Ngoja litokee hili, Tutajiona mapanzi mbele ya dunia kwa jinsi itavyoonyesha katiba yetu isivyiheshimiwa na kujitoshereza!
Sasa nimeelewa kwamba, Tz katiba yetu ni mbovu kuliko chochote!
Kwa nchi zenye watu wenye kupima ukweli wa jambo kupitia katiba walizonazo, Kusingeeleweka ikiwa sipika anashinikizwa kuachia ngazi kwa jambo ambalo halipo kikatiba
Mh Sipika ni mkuu wa mhimili unaojitegemea, lkn pia ni RAIA wa Tz mwenye Uhuru wa kutoa maoni yake katika jambo lolote lile huku akizingatia sheria za nchi
Niko na Ndugai na hana kosa kisheria na kikatiba
Hakika Mungu anawezaMungu yupo alivyotenda Kwa watanzania , atatenda kwake pia.
Luckyline UNA MIGUU MIZURINiko zangu chattle nawaonaaaaa
Naona atachokoza yale magonjwa yake sasaAt least angebaki na heshima kama angejiuzulu bila ya kuomba hata huo msamaha, ule msamaha umemfanya aonekane weak sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm nahisi Ni feki. Spika Wa Jamhuri Wa Muungano kwanini aandike barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa chama chake? Katibu Mkuu wa chama ndiyo mamlaka yake ya nidhamu?Hii fake.
Yehodawa umeandika jambo kubwa sana, huyu Ndugai kabla hata ya 40 ya Magu akaanza kulilia bandari ya Bagamoyo! Wengi wao misimamo mingi wameibadili, mmojawapo jinsi ya kushughulika na COVIDBora kaondoka mnafiki mkubwa Ndugai Ndumila kuwili asiye na haya
wote mliokuwa mkimpigia Magufuli vigelegele na baada ya kufa mkaanza kumponda hadharani achieni ngazi wapuuzi nyie
Mwacheni mana Samia aunde timu yake isiyobeba MI ndumila kuwili kama huyo Ndugai