Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Matomaso ndugu yenu ameshavuliwa cheo huku kwenye website
 
Huyu ashakula keki vya kutosha
Acha sasa ale maisha tu

Ova
 
Hapa unaongelea madudu gani yawe mfano, maana amefanya madudu kibao?!
 
Mhimili wa bunge haupo,tangia chini ya Nyerere mpaka leo. Labda siku ikitokea speaker anatoka chama tofauti na chama tawala.
Lile grupu la G70 lililokuwa linadai serikali ya Tanganyika lilikuwa ni la wabunge wa CCM, na wala hawakutishwa hata na watoto wadogo wanaoitwa Vijana wa CCM kama ilivyotokea kwa Ndugai; jamaa wale walifanya hivyo wakati Nyerere akiwa hai. Jambo alilofanya Nyerere nikushawishi kuwa wazo lao halikuwa sahihi, lakini hawakutishiwa kwa namna yoyote ile kuwa watavuliwa uanachama au kuvuliwa nyadhifa zao.
 
Mkuu usipotoshe umma, malizia kauli ya Ndugai alisema mwaka 2025 watu wachaguwe ni au nini? Msihamishe magoli, huyu hajaonewa, wekeni clip yake hapa watu wamsikilize upya pumba zake na uhasi wake kwa Rais.

Haitoshi kwa Ndugai kujiuzuru Uspika, either ajivuwe Ubunge au avuliwe na chama chake na pia wale covid 19 Watanzania hawataki kuwaona kwenye bunge hili la January, waondoke na sponsor wao wakafie mbele.
 
Kwani Ndugai akisema 2025 watz wakitaka mamchague mwingine inakuaje ni uasi?
Si ndio democrasia hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…