Spika Job Ndugai na Naibu wake wajiuzulu kwa kushindwa kusimamia na kuliongoza Bunge

Spika Job Ndugai na Naibu wake wajiuzulu kwa kushindwa kusimamia na kuliongoza Bunge

Unaweza kumshauri Mkuu Wenu Ajiuzuru kwa Kukirudisha Chama nyuma Kutoka kuwa na Wabunge zaidi ya 50 mpaka Mbunge mmoja wa kuchaguliwa....Kwa wimbo uliozoeleka toka '95' TUMEIBIWA.
Hayo yalikuwa ni matokeo na matunda ya uharamia wa kile kikundi $ ,ukiwamo nawe.
 
Kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu utendaji wa Spika wa Bunge Job Ndugai tokea awe na cheo hicho 2015.

Ameharibu sana bunge na kulifedhehesha akimhusisha na kufanya kazi pamoja Rais aliyepita marehemu Magufuli.

Ukiacha lawama toka kwa wabunge wenyewe, vyama vya siasa na wadau mbalimbali, lakini hata aliyekuwa CAG alipata kuliita bunge la Ndugai kuwa ni dhaifu. Yaani amesababisha chombo kinachowakilisha wananchi kimeomekana dhaifu hivyo nasi ni dhaifu.

Funga kazi ni kauli ya juzi toka kwa Rais kuwa bunge lina NDEMKA na mambo ya mitandaoni na kuacha mambo ya msingi.

Kwa hali hiyo haoni kuwa ni wajibu wake kujipima na kuamua kuwaachia wengine kwani yeye imemshinda na kwa vile alikuwa ameamua kumtumikia mwendazake na sasa hayupo tena basi ajikalie pembeni.

yerickonyerere-___CN3OxOFFARL___-.jpg

IMG-20210417-WA0003.jpg
 
Kuna ombwe la uongozi katika uendeshaji wa ofisi ya Spika wa Bunge la JMT. Ndugai pengine ana tatizo fulani lenye kuhitaji matibabu zaidi ya kitaalamu na hata kustahili kumpisha Mtannzania mwingine aiongoze ofisi hiyo nyeti.
 
Kwanini usimwambie Mbowe ajiuzulu kwa kushindwa kuipelekea CHADEMA Ikulu kwa chaguzi zote 5 alizoshiriki?
 
Kwanini usimwambie Mbowe ajiuzulu kwa kushindwa kuipelekea chadema ikulu kwa chaguzi zote 5 alizoshiriki?
Wanakwambia "NYANI HAONI KUNDULE"

Ukileta hoja hiyo wanakwambia ndugai ni kiongozi wa taifa sio chama.
Mbowe akitoa tamko ukahoji yeye ni nani wanakwambia ni kiongozi wa uma[emoji28][emoji116][emoji116]

IMG_0324.jpg
 
Back
Top Bottom