Spika Job Ndugai na Naibu wake wajiuzulu kwa kushindwa kusimamia na kuliongoza Bunge

Spika Job Ndugai na Naibu wake wajiuzulu kwa kushindwa kusimamia na kuliongoza Bunge

Kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu utendaji wa Spika wa Bunge Job Ndugai tokea awe na cheo hicho 2015.
Ameharibu sana bunge na kulifedhehesha akimhusisha na kufanya kazi pamoja Rais aliyepita marehemu Magufuli..
Hivi hamuoni kile kinundu cha kansa ya ubongo kwenye fuvu lake mnategemea huyu mtu atakua ana akili timamu kweli
 
ANGEKUWA NI MTU MWENYE BUSARA KUSEMA KWELI BAADA YA KUSUTWA KWA KIWANGO HICHO, ANGECHUKUA HATUA YA KUOMBA APUMZIKE NA MTU MWINGINE APOKEE KIJITI CHA KUWA SPIKA. KWA KUFANYA HIVYO ATABAKIA NA HIYO HESHIMA KIDOGO ILIYOBAKI!
Wagogo hawana aibu wala hawajui vibaya
 
Kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu utendaji wa Spika wa Bunge Job Ndugai tokea awe na cheo hicho 2015. Ameharibu sana bunge na kulifedhehesha akimhusisha na kufanya kazi pamoja Rais aliyepita marehemu Magufuli...
Nyie ndiyo Samia anawaita wazushi, mkome
 
Mwanaume wa kigogo asutwa na kuvunguliwa nguo na mwanamama wa pwani!

Ningekuwa mimi ndio spika nisingekubali kabisa. Ningepachimbisha.
 
Mama Samia amesema bunge letu ni DHAIFU (halina afya) na limejaa wacheza ngoma!
Na ndugai ndio mcheza ngoma mkuu?

Ndugai muite mama haraka kwenye kamati, usikubali dhihaka!
 
ANGEKUWA NI MTU MWENYE BUSARA KUSEMA KWELI BAADA YA KUSUTWA KWA KIWANGO HICHO, ANGECHUKUA HATUA YA KUOMBA APUMZIKE NA MTU MWINGINE APOKEE KIJITI CHA KUWA SPIKA. KWA KUFANYA HIVYO ATABAKIA NA HIYO HESHIMA KIDOGO ILIYOBAKI!
Heshima ipi ?
 
Hoja ni Bunge kunajisiwa na Ndungai. Tumia japo hako ka akili kiduchu ulikobakishiwa.
Kama hoja ni hiyo hata Mbowe kafeli kabisa kuipeleka chadema ikulu kwa hiyo ni wakati mwambieni apishe wenye mbinu mpya!

Kabla hujamwambia jirani afagie uwanja hakikisha wako uko safi.
 
Kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu utendaji wa Spika wa Bunge Job Ndugai tokea awe na cheo hicho 2015...
Yote haya yamesababishwa na ccm kugeuka kuwa genge la kugawiana uongozi badala ya kuongoza.

Vyeo wanagawana tu kama pombe ya mizimu badala ya kuzingatia mahitaji ya nchi
 
Mama Samia amesema bunge letu ni DHAIFU (halina afya) na limejaa wacheza ngoma!
Na ndugai ndio mcheza ngoma mkuu?

Ndugai muite mama haraka kwenye kamati, usikubali dhihaka!
Linaweza kusema "mama afike mwenyewe kwenye kamati jumamosi, aje kwa hiari la sivyo ataletwa kwa pingu"
 
Kama hoja ni hiyo hata Mbowe kafeli kabisa kuipeleka chadema ikulu kwa hiyo ni wakati mwambieni apishe wenye mbinu mpya!

Kabla hujamwambia jirani afagie uwanja hakikisha wako uko safi.
Kwani bunge ni la jirani au la Tanzania?
Napata picha kuwa hujitambui!
 
Hivi hamuoni kile kinundu cha kansa ya ubongo kwenye fuvu lake mnategemea huyu mtu atakua ana akili timamu kweli

Anachostahili huyu spika ni pongezi siyo kulaumiwa hata kidogo maana aliongoza bunge lililoishauri na kuisimamia serekali tukapiga hatua kubwa na kuwa katika uchumi wa kati kabla ya wakati ila kitu kimoja tu kajitia doa pale kwenye mradi wa bagamoyo alini dissapoint sana
 
Kama hoja ni hiyo hata Mbowe kafeli kabisa kuipeleka chadema ikulu kwa hiyo ni wakati mwambieni apishe wenye mbinu mpya!

Kabla hujamwambia jirani afagie uwanja hakikisha wako uko safi.
Kila mwenye akili timamu anajua kabisa kuwa Chadema haikushindwa kwenye uchaguzi mkuu uliopita bali CCM kwa kutumia mabavu ya vyombo vya dola waliiba kura.

Wewe kwa kigezo cha uchaguzi mkuu unachotumia kumhukumu Mbowe ni dhahiri wewe ni kibajaji, yaani kifupi huna akili. Na wenye haki ya kuhoji uwezo wa Mbowe kuongoza Chadema ni wana Chadema wenyewe waliomchagua.
 
Kila mwenye akili timamu anajua kabisa kuwa Chadema haikushindwa kwenye uchaguzi mkuu uliopita bali CCM kwa kutumia mabavu ya vyombo vya dola waliiba kura. Wewe kwa kigezo cha uchaguzi mkuu unachotumia kumhukumu Mbowe ni dhahiri wewe ni kibajaji, yaani kifupi huna akili. Na wenye haki ya kuhoji uwezo wa Mbowe kuongoza Chadema ni wana Chadema wenyewe waliomchagua.
Ndio maana mtabaki kuitwa wapinzani hadi mnaingia kaburini! Na Mbowe anajivunia sana wafuasi aina yako msiojua kuhoji chochote zaidi ya kupiga tu makofi.

Uchaguzi mlushindwa sababu yule belgiji wenu alikuwa hachaguliki. Si unaona hata alipowaambia ingieni barabarani mkajificha uvunguni.
 
Wamesahau kwamba Ndugai ni yule yule
bakoraaa mmesahau eeh [emoji23][emoji23]
1003301_585397164816393_1786733417_n.jpg
 
Back
Top Bottom