babu bulicheka
JF-Expert Member
- Mar 26, 2021
- 822
- 1,048
MwendazakeKufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MwendazakeKufa
MfuateMwendazake
Mama alivunje tu Bunge waje huku tujenge nchi. Hizo posho na malipo mengine viingie kwemye mzunguko tunusuru hali ya maisha ya raia.
YA KUWA BINADAMU!Heshima ipi ?
YOU ARE RIGHT!!! HAWANA HAYA HAWA WAGOGO!Wagogo hawana aibu wala hawajui vibaya
Una akili ya kikatibu kata wa ccm. Very primitive!Ndio maana mtabaki kuitwa wapinzani hadi mnaingia kaburini! Na Mbowe anajivunia sana wafuasi aina yako msiojua kuhoji chochote zaidi ya kupiga tu makofi.
Uchaguzi mlushindwa sababu yule belgiji wenu alikuwa hachaguliki. Si unaona hata alipowaambia ingieni barabarani mkajificha uvunguni.
Huyu ni Bia yetu leo ilikuwa zamu yake kukesha humu Ubongo wake kaendanao Mwendazake sasa ana weweseka kaa naye mbali atakuharishia hana brekiUna akili ya kikatibu kata wa ccm. Very primitive!
Waziri Mkuu huyu kwa ubovu anazidiwa na Sumaye pekee tangu tupate Uhuru.
Kweli wajiuzulu si kwa bangi hizi.Wasalaam wana wa Adam,
Kwanza kabisa napongeza sana hotuba nzuri ya leo ya Mhe Rais Mama yetu Samia Suluhu Hassan, ni maneno mazito sana ambayo yamelisuta bunge letu la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Unaposutwa kubali kuwa unakosea sana na unachokifanya hakifai hata kuigwa na yeyote yule.
Rais wetu amesema kuwa bunge limeacha kazi zake za kujadili mambo ya kitaifa na matokeo yake limegeuka kujadili mambo yasiyo na Afya kwa taifa. Hakika haya ni maneno mazito sana kwa wanaoendekeza tabia za hovyo hovyo kama hizo. CAG Mstaafu Prof Assad aliposema kwamba bunge letu ni dhaifu nadhani sasa maneno yake yanaishia. Aliadhibiwa kwa sababu ya watu wachache kutotaka kuambiwa ukweli.
KWANINI SPEAKER NDUNGAI NA NAIBU WAKE WANATAKIWA KUJIUZULU NAFASI ZAO?
Ni wazi kabisa kua maneno ya Mama yamedhibitisha kwamba kuna udhaifu mkubwa sana wa usimamizi na uendeshwaji wa shughuli za bunge, Speaker na naibu wake wasingerndekeza mijadala hii wala tusingefika mahali tupo hivi sasa. Ndungai na naibu wake watalaumiwa sana kwa kushindwa kulisimamia na kulidhibiti bunge hali iliyosababisha mpaka sasa linaonekana kugawanyika.
Hakika huu ni udhaifu mkubwa sana usiovumilika. Kama walipendekeza mambo yasiyokuwa na Afya kwa taifa mpaka kupelekea mkuu wa nchi kuonea maana yake waliunga mkono mambo haya. Hakuna lingine zaidi hawa viongozi kujiuzulu kwa maslahi ya taifa na bunge lenyewe. Raia hatutakubali tutalipigia kelele hili mpaka waondoke wanatuharibia taifa hawa.
USHAURI KWA MHE RAIS
Mhe Rais kauli zako zimeeleweka Mama kua ni za kujenga na kutuweka pamoja asante sana. Mhe Rai, bado wiki moja uthibitishe kua Mwenyekiti wa CCM taifa, ninakuomba sana ingawa bunge ni mhimili mwingine lakini wewe ndiye Rais na mwenyekiti wa CCM anayesubiri kuthibitishwa tu, utajua namna ya kupanga safu yako. Kama speaker na Naibu wake hawatakubali kuwajibika, wewe ni mwenyekiti chama na waziri mkuu ni katibu wa wabunge wa chama hakuna kitakachoshindikana. Wapo wazee Wangu akina Zungu,na wengine wenye busara na uelewa wanaweza kuendesha bunge na kulisimamia vizuri.
Mwisho ninkulitakia mema taifa langu na kuombea umoja na mshikamano.
Mh. Rasi ilitakiwa ayaseme mapema wakati Hayati Nabii Mfalme JPM anachafliwa. Kwa nini anayasema wakati anatetewa? She has to be very careful akiundana na Swaiba Kikwete ajue itakuwa shida kuiendesha nchi hii!Wasalaam wana wa Adam,