Hayo yalikuwa ni matokeo na matunda ya uharamia wa kile kikundi $ ,ukiwamo nawe.Unaweza kumshauri Mkuu Wenu Ajiuzuru kwa Kukirudisha Chama nyuma Kutoka kuwa na Wabunge zaidi ya 50 mpaka Mbunge mmoja wa kuchaguliwa....Kwa wimbo uliozoeleka toka '95' TUMEIBIWA.
Pole Mh Mbuge -Kimeonekana dhaifu "nasi si dhaifu"Yaani amesababisha chombo kinachowakilisha wananchi kimeomekana dhaifu hivyo nasi ni dhaifu.
Kweli kabisa, Ndugai bure kabisa.Ndugai ameyumba kwa vile alikuwa anamtegemea Jiwe kama nguzo ya fikira zake
Wanakwambia "NYANI HAONI KUNDULE"Kwanini usimwambie Mbowe ajiuzulu kwa kushindwa kuipelekea chadema ikulu kwa chaguzi zote 5 alizoshiriki?
Nyumbu kweli hawawanakwambia "NYANI HAONI KUNDULE"
ukileta hoja hiyo wanakwambia ndugai ni kiongozi wa taifa sio chama.
mbowe akitoa tamko ukahoji yeye ni nani wanakwambia ni kiongozi wa uma[emoji28][emoji116][emoji116]View attachment 1757634