Spika Job Ndugai na Naibu wake wajiuzulu kwa kushindwa kusimamia na kuliongoza Bunge

Kama taifa tuwe makini tusije kuwa na uongozi wa ajabu kama huu tena kwa chombo nyeti kama hiki. Shame!
 
Watanzania muwe wavumilivu,maombi yenu soon yatajibiwa kama yalivyojibiwa yale mengine.
 
Kikao cha Mama na Job naiona kabisa hatari ya Mzee Mdee kutolewa bungeni maana hawana uhalali wa kuitwa Wabunge na huyu Mama hataki dhuluma. Muda utasema
 
Una akili ya kikatibu kata wa ccm. Very primitive!
 
Kweli wajiuzulu si kwa bangi hizi.
 
Mh. Rasi ilitakiwa ayaseme mapema wakati Hayati Nabii Mfalme JPM anachafliwa. Kwa nini anayasema wakati anatetewa? She has to be very careful akiundana na Swaiba Kikwete ajue itakuwa shida kuiendesha nchi hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…