Hatuna legitimate parliament kwa maana halisi ya kuchaguliwa na wananchi
Hatuna legitimate parliament kwa maana halisi ya aina ya wabunge tulionao
Hatuna legitimate parliament kwa maana halisi ya michango wanayotoa bungeni
Hili sio bunge ni kijiwe cha wasaka tonge and am sorry to say kwamba ni bunge la kipuuzi kuwahi kutokea Tanzania.. Naomba radhi tena kwa atakayekwazika na hili.. Hivyo basi kama ni bunge la kipuuzi maana yake hata hoja zinazotolewa ni hovyo na za kipuuzi...!! Na matokeo yatakuwa ya kipuuzi pia...my apology once again kwa kutumia lugha kama hii lakini nilikuwa sina jinsi
Kwa muktadha huo ni hoja gani itaenda pale waipinge kwa nguvu moja? Labda kupunguziwa maslahi yao na kuongezewa muda wa kufanya kazi.. Hapo utawaona watakavyosawajika nyuso zao na kufura kwa hamaki!