SPIKA; Kwa mara ya kwanza bajeti kupita bila kupingwa. Wananchi kwa mara yakwanza wanaandamana kwenye mitandao kukupinga

SPIKA; Kwa mara ya kwanza bajeti kupita bila kupingwa. Wananchi kwa mara yakwanza wanaandamana kwenye mitandao kukupinga

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,703
Reaction score
3,307
Kelele ni nyingi kuhusu kodi za mafuta na tozo za matumizi ya simu.

Mwananchi analalamika.

Mbunge anaipongeza kwa asilimia 100%.

Je mbunge anamsimamia mwananchi aumie nakumsifu serikali amuumize mwananchi?

Bado miaka 4 tuendelee kwenye mitandao kulalamika?

Au Kijiji/kata umwite mbunge eneo husika kisha wananchi tuwe na sauti moja kwa mbunge.
 
CCM ndo tatizo la nchi.

Ndo ilyo toa wabunge wasio chaguliwa na wananchi walio wengi.

Hivyo ikatoa mawaziri wasio tokana na wabanchi.

Hatimae ikatoa speaker asiye wajibika kwa wananchi.

Hivyo basi wanakusanya mapato yasiyo jali maslahi ya wananchi na kupelekea kufanyia matumizi yasiyo na tija kwa wananchi. Hali hii inawajengea umoja kati yao wenye lengo la kufisidi wananchi wasio na uwezo dhidi yao.
 
Hatuna legitimate parliament kwa maana halisi ya kuchaguliwa na wananchi. Hatuna legitimate parliament kwa maana halisi ya aina ya wabunge tulionao. Hatuna legitimate parliament kwa maana halisi ya michango wanayotoa bungeni.

Hili sio bunge ni kijiwe cha wasaka tonge and am sorry to say kwamba ni bunge la kipuuzi kuwahi kutokea Tanzania.. Naomba radhi tena kwa atakayekwazika na hili.

Hivyo basi kama ni bunge la kipuuzi maana yake hata hoja zinazotolewa ni hovyo na za kipuuzi. Na matokeo yatakuwa ya kipuuzi pia...my apology once again kwa kutumia lugha kama hii lakini nilikuwa sina jinsi.

Kwa muktadha huo ni hoja gani itaenda pale waipinge kwa nguvu moja? Labda kupunguziwa maslahi yao na kuongezewa muda wa kufanya kazi.. Hapo utawaona watakavyosawajika nyuso zao na kufura kwa hamaki!
 
Kelele ni nyingi kuhusu kodi za mafuta na tozo za matumizi ya simu.
Mwananchi analalamika
Mbunge anaipongeza kwa asilimia 100%.
Je mbunge anamsimamia mwananchi aumie nakumsifu serikali amuumize mwananchi?

Bado miaka 4 tuendelee kwenye mitandao kulalamika?
Au Kijiji/kata umwite mbunge eneo husika kisha wananchi tuwe na sauti moja kwa mbunge
Hakuna spika hapo kuna mwendawazimu pekee
 
Hatuna legitimate parliament kwa maana halisi ya kuchaguliwa na wananchi
Hatuna legitimate parliament kwa maana halisi ya aina ya wabunge tulionao
Hatuna legitimate parliament kwa maana halisi ya michango wanayotoa bungeni

Hili sio bunge ni kijiwe cha wasaka tonge and am sorry to say kwamba ni bunge la kipuuzi kuwahi kutokea Tanzania.. Naomba radhi tena kwa atakayekwazika na hili.. Hivyo basi kama ni bunge la kipuuzi maana yake hata hoja zinazotolewa ni hovyo na za kipuuzi...!! Na matokeo yatakuwa ya kipuuzi pia...my apology once again kwa kutumia lugha kama hii lakini nilikuwa sina jinsi
Kwa muktadha huo ni hoja gani itaenda pale waipinge kwa nguvu moja? Labda kupunguziwa maslahi yao na kuongezewa muda wa kufanya kazi.. Hapo utawaona watakavyosawajika nyuso zao na kufura kwa hamaki!
 
Back
Top Bottom