Spika: Mazishi ya Mama Rwakatare yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10, Serikali itasimamia

hivi mtu akizikwa na watu kumi kuna shida gani?
maana watu hadi wanashangaa mtu kuzikwa na idadi ndogo ya watu
mtu akifa amekufa hata akizikwa na watu wawili naona hakuna tatizo kabisa
Kwa ww haitashangaza ukizikwa hata na mtu mmoja ila sio mama. Umeyaona mazishi ya baba wa Simbachawene jana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahenga hawajawahi kukosa kizembe kama unavyofikiri ww bali tafsri yako ndio makosa yako. Eti huwezi kuumbuka ukiwa umekufa... sasa utaliaje ukiwa umekufa.
Tumia ubongo.

Unalia na kuumbuka wakati ugonjwa umekuzidia na huwezi kuuficha tena.

Ukishakufa huwezi kuumbuka.

Use your noodles.
 
Tigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Itapendeza wakizui na watu kusali makanisani. Hatari iko pale pale
 
Idadi ya watu si hoja! Hoja ni kuwa shujaa wa imani amelala! Mazishi ya Lazaro kwenye biblia hayakuhudhuriwa na watu wowote lakini alipokelewa kifuani pa Ibrahimu na kuburudishwa!!
Ibrahim huyu huyu mmiliki wa butcher pale Mabibo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…