Spika na wabunge warejea kutoka Misri wataka kocha wa Taifa stars mh Amunike ni dalali atimuliwe mara moja


Hivi haya mapumbavu yenye vitambi yanaongea nini aisee?
 
Afadhali wamerudi, huenda timu yetu sasa ikajitahidi kufanya vizuri.

Hawa wanaoteka, kushambulia na kuua watu, popote waendapo hawawezi kupeleka baraka.
 
Afadhali wamerudi, huenda timu yetu sasa ikajitahidi kufanya vizuri.

Hawa wanaoteka, kushambulia na kuua watu, popote waendapo hawawezi kupeleka baraka.
Mchungaji Msigwa alimteka nani?!
 
Rais was TFF ni kichwa cha panzi. Tusishangae wanamtimua kweli na kumlipa hela ndefu.
 
Tukishinda Sifa kwa wenye nchi

Tukifungwa lawama kwa kocha

Wameona jinsi kwenye mitandao watu walivyofurahia hiyo timu kufungwa, imebidi na wao watoe maoni yao kuonyesha kocha ndio anashida. Ukweli ni kuwa Ndugai na kundi lake la wabunge hawana lolote wajualo kuhusu soka, na maoni waliyotoa hayana uhalisia wowote wa kisoka zaidi ya kutekwa na negative atitude iliyopo mitandaoni. Huyo Ndugai na wenzake warudi bungeni wakaendelee kuwa rubber stamp kwani hawana lolote wajualo kuhusu soka.
 
Ndugai amewahi kuchezea Simba B usisahau hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…