Uelekeo wa uchumi wa sasa ni upi ?Huyo nae huwa ni mjinga Sana na huwa anahemka, expenditure za serikali huwa siku zote ana control nani?.
Makongamano gani ambayo yanafanyika Dar tuu? Na nani kasema makongamano yanatakiwa kufanyika Dom pekee?
Kwani kulipana posho ni tatizo? Pale Bungeni anakaa bure bila posho?
Hiki kizee huwa kina matatizo ya kisaikolojia nadhani.
Seems haelewi hata uelekeo wa uchumi wa sasa
Wamechelewa sana!Tulisema mkimaliza upinzani mtaanza kushughulikiana wenyewe kwa wenyewe.
Hawana huo ubavu.Huyu watamshughulikia hivi karibuni
Rais wanamchezeaENDAPO MAWAZIRI AU WAHUSIKA WAPO DODOMA BASI MAKONGAMANO HAYO YAFANYIKE DODOMA,MADHANI WAPO WANAJARIBU KUFANYA YAO ALIMRADI MPENDWA LETU RAIS AONEKANE WEAK,MFANO MWINGINE NI GJARAMA ZA UKARABATI WA NYUMBA ZILIVYO ZA AJABU AJABU,what is that? That's mean kumuumiza mwananchi ili ili amchukie kiongozi.
Kasema tumefurahia Tozo.Nchi ya kisanii hii mama anakula Bata tu Hana habari kazi tunayo
Mzee Ndugai mbona na wewe ulilipwa Posho ulipoenda IndiaSpika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dares salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.
Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
Ajibiwe na nani? Wamempuuza tuuAlijibiwa hili swali?
Basi ameupiga mwingiAjibiwe na nani? Wamempuuza tuu
Uchumi wa soko sio centrallised kama wa Magu lazima serikali ifanye Kazi na sekta binafsi ikiwemo hizo makongamano kwenye kumbi binafsi kutanua mzunguko wa helaa.Uelekeo wa uchumi wa sasa ni upi ?
Kwanza ni mpuuzi Sana,nikajua labda kuna mambo yamekwama kumbe anaropoka tuu ,utekelezaji unafanyika kama ilivyopangwa sasa huyu mtu sijui huwa ana shida gani.Mzee Ndugai mbona na wewe ulilipwa Posho ulipoenda India
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Fangabulo huyo huyo sabuwuufa! Mbona waliohoji posho za wabunge wanawekwa kiti moto?Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dares salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.
Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
Na Jumong anaongoza! Mara ya mwisho JPM alifanya ziara Mkoa wa Dar es Salaam it means tayar alikuwa kashamaliza total kuamia Dodoma. Sasa Jumong wiki 2 Dar, siku 3 Dodoma yani amekuwa kama nini sijui.Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dares salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.
Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
Kwa huko Dodoma kitu gani kinakosekana?Tanzania ipo Dar es salaam
Mawaziri lazima wafanye shughuli zao kwa kiasi kikubwa wakiwa Dar
Ushawah kusikia kuna kitu kimeshindika kufanywa sababu ya Dodoma?Tanzania ipo Dar es salaam
Mawaziri lazima wafanye shughuli zao kwa kiasi kikubwa wakiwa Dar