Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

Huyo nae huwa ni mjinga Sana na huwa anahemka, expenditure za serikali huwa siku zote ana control nani?.

Makongamano gani ambayo yanafanyika Dar tuu? Na nani kasema makongamano yanatakiwa kufanyika Dom pekee?

Kwani kulipana posho ni tatizo? Pale Bungeni anakaa bure bila posho?

Hiki kizee huwa kina matatizo ya kisaikolojia nadhani.

Seems haelewi hata uelekeo wa uchumi wa sasa
Uelekeo wa uchumi wa sasa ni upi ?
 
Mtaparaganyika tu, tulijua..mlisema Lema na Msigwa na wengine wanakwamisha maendeleo. haya sasa

Nyie si mlisema mnahamia Dodoma sasa kulikoni safari za Dar kila siku kutuwekea jam?
 
ENDAPO MAWAZIRI AU WAHUSIKA WAPO DODOMA BASI MAKONGAMANO HAYO YAFANYIKE DODOMA,MADHANI WAPO WANAJARIBU KUFANYA YAO ALIMRADI MPENDWA LETU RAIS AONEKANE WEAK,MFANO MWINGINE NI GJARAMA ZA UKARABATI WA NYUMBA ZILIVYO ZA AJABU AJABU,what is that? That's mean kumuumiza mwananchi ili ili amchukie kiongozi.
 
Rais wanamchezea
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dares salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.

Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
Mzee Ndugai mbona na wewe ulilipwa Posho ulipoenda India

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Uelekeo wa uchumi wa sasa ni upi ?
Uchumi wa soko sio centrallised kama wa Magu lazima serikali ifanye Kazi na sekta binafsi ikiwemo hizo makongamano kwenye kumbi binafsi kutanua mzunguko wa helaa.

Ndio maana hata ujenzi wa mji mkuu kwa sasa kuna kampuni binafsi na sio za serikali tuu.
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dares salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.

Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
Fangabulo huyo huyo sabuwuufa! Mbona waliohoji posho za wabunge wanawekwa kiti moto?
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dares salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.

Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
Na Jumong anaongoza! Mara ya mwisho JPM alifanya ziara Mkoa wa Dar es Salaam it means tayar alikuwa kashamaliza total kuamia Dodoma. Sasa Jumong wiki 2 Dar, siku 3 Dodoma yani amekuwa kama nini sijui.
 
Back
Top Bottom