Kwani we haujui kua alichokihoji ndugai ni miongoni mwa kazi za bunge pale wanapokua wameweka pembeni kidogo unazi wa chama na kusimamia wajibu wao Kama bungeHivi Speaker Nate anaweza kuitwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge? Mbona kama vile anaingilia Mhimili wa Serikali?
Mbona amenena vema kabisa au ulitaka alopoke na kutukana, au kwamba ulipendelea bunge lake lote likae lijadili hilo swala akat PM wako nae mule na wote ni Kada moja. Linao wahusu watalichukua ikiwa wataona umuhimu wa kufanya hivyo, vinginevyo basi wanayafanya hayo kwa maslahi yao.Yeye kama Spika angeweka wazi kila kitu sio anaongea kama kaandikiwa memo au yuko space
Ana mhimili wake mkubwa tu na anashindwa kuyasema wazi
Anajua nani anaidhinisha halafu anauliza kama mimi
Ushawah kusikia kuna kitu kimeshindika kufanywa sababu ya Dodoma?
Ww ni mnufaika wa TOZO unabunya tu pesa za walala hoi kuna siku utazinyaHuyo nae huwa ni mjinga Sana na huwa anahemka, expenditure za serikali huwa siku zote ana control nani?.
Makongamano gani ambayo yanafanyika Dar tuu? Na nani kasema makongamano yanatakiwa kufanyika Dom pekee?
Kwani kulipana posho ni tatizo? Pale Bungeni anakaa bure bila posho?
Hiki kizee huwa kina matatizo ya kisaikolojia nadhani.
Seems haelewi hata uelekeo wa uchumi wa sasa
Hujui kwamba miongoni mwa kazi bunge ni pamoja na kuhoji matumizi ya serekali au ww ni kiaziHivi Speaker Nate anaweza kuitwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge? Mbona kama vile anaingilia Mhimili wa Serikali?
SijaelewaSpika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dares salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.
Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
UASI HUO.....Ni lazima tupate rais mapema huyu aliyepo hajui anafanya Nini taifa limekosa mwelekeo.
Nyie msiojielewa na hamuwezi kumwelewa ndugai! Magufu,alikuuwa kashamaliza suara la kuhamia dodoma jumong hajisimamii!Atakua na lodge take Dom huyu,anaona haijai inabidi ajifanye ana uchungu na pesa za serikali.
Huo uchungu ameanza kuupata lini?
Lissu aliposema rais yupo mateka ulipinga ukasema ni viroba vya ubeligiji sasa wewe unasemaje rais anarembua tu.Rais anawarembulia macho unategemea nini?? Acha wapige tu...
Kumbe na ubelgiji viroba vipo...jamaa kaishiwa kabisa..
Vipi lodge yake imelaza watu wangapi leo?Nyie msiojielewa na hamuwezi kumwelewa ndugai! Magufu,alikuuwa kashamaliza suara la kuhamia dodoma jumong hajisimamii!
Hawajielewi wanataka nini,kiufupi wamechanganyikiwa!Lissu aliposema rais yupo mateka ulipinga ukasema ni viroba vya ubeligiji sasa wewe unasemaje rais anarembua tu.
Tozo zetu hzSpika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dares salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.
Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
Speaker yuko sahihi katika hili wala sio kubeza watu wanatafuta posho na kama makao makuu yangekuwa Dar ungewasikia wako Dom maana ni nzuri kwao. Shughuli hizi zikifanyika Dom hawapati posho sababu zinakuwa zinafanyika katika kituo chao cha kazi ukitoka nje lazima mjilipe per diem kisheria sio kuwa wanaiba sasa huwezi kusema tozo halafu wakati huohuo mnachezea pesa kulipana. Speaker anasema haya kwa kuwa anajuwa au kaambiwa na data anazo. Per diem njia moja wapo kubwa ya watu kupiga pesa labda sheria itoke tu ukiwa waziri au kiongozi wa serikali haijalishi uko wapi unaenda kufanya kazi hakuna per diem hapo adabu lakini hivi vi trip ndio chaka la kupiga.Nini maana ya makao makuu ya serikali kuwa Dodoma? na hiyo siyo maneno ya blah blah ni sheria......Dar ni commercial capital kama ilivyo Lagos kule Nigeria.....kadri watu wanavyoendelea kukamuliwa tozo ndo na safari za vigogo Dar-Dom, Dom-Dar zinavyoongezeka. Swali lililoulizwa hapa ni nani ana control government expenditure?
Ikulu na ofisi za rais hazijakamilika bado sijuzi tu tumeonwa PM katembelea ujenzi wa ikulu haujakamilika bado ujenzi unaendelea.Siku ngapi Rais,Makamu au PM wameishi Chamwino State House tangia Magu aondoke?
Hata ule wakati bado Dar mji mkuu trip za Dodoma zilikuwa kibao na yote posho.Mtaparaganyika tu, tulijua..mlisema Lema na Msigwa na wengine wanakwamisha maendeleo. haya sasa
Nyie si mlisema mnahamia Dodoma sasa kulikoni safari za Dar kila siku kutuwekea jam?
Hata Lindi na Mtwara kuna bahariBahari
Mimi sio mpumbavu kama wewe na wenzio,tozo ziko clear zinakotumika.Nawewe kanufaike ubweie kwani hutaki pesa?Ww ni mnufaika wa TOZO unabunya tu pesa za walala hoi kuna siku utazinya