Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

Kwani we haujui kua alichokihoji ndugai ni miongoni mwa kazi za bunge pale wanapokua wameweka pembeni kidogo unazi wa chama na kusimamia wajibu wao Kama bunge
Huyo hajui, speaker kafanya kazi yake haswa! Hivi huyo ashawahi kumfatilia spika wa uganda anaitwa Kadaga? Ndugai kafanya kazi yake!
 
Hayatuhusu
 
Pigaaaaaaaa yake kichwaaaaaaa
 
Job wa Jeriko aachr wivu. Kwani yeye expenditure za bunge nani anazicontrol
 
nilimsiki akihoji kwa uchungu sana
angetolea mfano @Gerison msingwa
 
😅😅😅
 
Wewe mpumbavu utamtaja mwenda zake mpaka lini? Viongozi wajinga wasiojitambua wanaofanya mambo kwa kujipendekeza waonekane wazuri kumbe hamna kitu matokeo yake ndo haya! Mwache Magufuli apumzike mlishangilia sana sasa mambo shagarabagara unakuja na ngonjera za mwenda zake! Stupid!
 
Thank you Job
 
Reactions: nao
Kipindi cha mwendazake ni nani alikuwa anacontrol hiyo expenditure? Mbona hajawahi kuuliza swali hilo ilhali kuna wakati ikuli ilihamiaga Chato? Ndugai yupo kwenye kamati ya fitna na roho mbaya dhidi SSH.


Mnakosea sana mnapilinganisha awamu ilopita na hii kwa kusema “Eti wakati wa JPM angeyasema hayo”?

Hiyo ni inferiority complex!

Basi muulize pia je wakati wa JK mtu angeyasema hayo?

Watu wenye mawazo kama yako iwapo wakiwa karibu ya Rais mtamfanya aanze kujisikia -inferiority complex kitu ambacho sio kizuri.

Epukeni kabisa hiyo hali ya kujiuliza Eti ingekuwa wakati wa JPM angeyasema hayo? So what?

Madhara ya inferiority complex yanajulikana!

Uongozi si lelemama, unapaswa kuwa na kifua kipana cha kukabiliana na mambo mazito!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…