Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tamisemi ilishahamia Dodoma miaka 20 iliyopita . Je hukuliona hili?Haya mambo ya kuonesha kwa nini kuhamishia Makao Makuu Dodoma ni makosa niliyasema tangu mpendwa Hayati JPM akiwa hai. Na alipona hoja zinamshinda akapiga mkwara wakati anazindua ujenzi wa fulaiova ya Hayati Kijazi Ubungo akisema, 'kama jambo haulipendi si unyamaze.'
Ukweli utabaki kuwa ukweli siku zote. Kufukia kodi za Watanzania Kwa kigezo cha Makao Makuu Dodoma ni ukengemfu. Ikiamliwa DSM iendelee kubakia kuwa Nakao Makuu ya nchi hii leo. Na kukaingiwa gharama za maboresho, ukajengwa mji mpya wa kiserikali DSM na Ikulu mpya bado gharama hizi hazitafikia nusu ya gharama za kuifanya Dodoma kuwa na hadhi ya Makao Makuu.
Faida yake ni kubwa zaidi, DSM itaendelea kutoa kodi kubwa zaidi. Majengo mengi ya Mifuko ya kijamii yaliyo DSM na ya wadau wengine yatapata wapangaji, yange ongeza ajira, serikali itakusanya kodi kuliko sasa ambapo yako idol tu na ni hasara kwa serikali na walio fanya huu uwekezaji.
Tamisemi ilishahamia Dodoma miaka 20 iliyopita . Je hukuliona hili?
Huna akili kabisa
Actually ikifika hatua fulani ya maisha ukaanza kuona wewe unaonewa basi mara nyingi huwa iko shida fulani.
Au wengine utakuta wanasema wanaroho ya kukataliwa!
Roho ya kukataliwa gani?
Imeandikwa; “Je mkitenda mema hamtapata kibali?! “
Kanuni mojawapo ya kukubarika na watu au kupendwa na watu ni pamoja na kutenda mema.
Tendea watu mema, wape watu zilizo haki zao, uone kama utachikiwa na watu au kuonewa na mtu yeyote!
Kutolalamika kipindi kile kwa ufujaji na matumizi ya hovyo ya JPM hakuharalishi ufujaji na matumizi ya hovyo ya SASHANarudia tena acheni kumhujumu Rais Samia. Ndugai analalamika Mawaziri na Rais Samia kuonekana DSM lakni wakati JPM alipohamia Chato tena kwenye hoteli yake na convoy kubwa ya wasaidizi wake hakulalamikia hiyo expenditure wala Dodoma kuwa jeopardized. Wanafiki na wasaga sumu wakubwa.
Watanzania siyo mbumbumbu. Tunaona yanayotendeka. RIP MaguSpika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.
Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
Kuna jamaa yangu mmoja yuko hapa Dar wiki hii ya pili sasa, kituo chake na familia yake ni Dom... Chakula malazi na kinywaji vyote ni hotelini.... Najiuliza hizi gharama zina uhalali wowote ?
Acha kunukuu Neno la Mungu kwa kuunga unga. Ayubu alisema nilikuwa macho kwa vipofu, mguu na mikono kwa vilema kwa maana ya roho nzuri na kutoa misaada lakini bado alipigika.
Mmnh!
Kwa hiyo unataka kuandikaje kwa mfano?!
Ok! Kinachoshangaza kundi lilelile kilichokuwa kinadai Rais ni Taasisi na Ikulu ni popote nchini Tanzania leo inalalamikiaje jambo lilelile? Hapo ndo tunapoona figisu za Ndugai na kundi lake against Rais SSHKutolalamika kipindi kile kwa ufujaji na matumizi ya hovyo ya JPM hakuharalishi ufujaji na matumizi ya hovyo ya SASHA
tatizo mama naye analegeza jicho mno, hivyo wanamchukulia poa.Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.
Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
Watanzania siyo sukuma gang. Kafie mbele na legacy uchwara. Shenzi!Watanzania watawaonyesha kazi ,wezi wa mali za uma nyinyi
Contradiction is the CCM's order of the day. Fund embezzlement on the expense of its citizens. "Tozo kwenye kila aina ya huduma ili wakubwa waendelee kutumbua".Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.
Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
Jibu la swali Ndugai analijua Rais ndiyo anatoa pesa. Bunge lake limepuuzwa.Nini maana ya makao makuu ya serikali kuwa Dodoma? na hiyo siyo maneno ya blah blah ni sheria......Dar ni commercial capital kama ilivyo Lagos kule Nigeria kadri watu wanavyoendelea kukamuliwa tozo ndo na safari za vigogo Dar-Dom, Dom-Dar zinavyoongezeka. Swali lililoulizwa hapa ni nani ana control government expenditure?
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo,Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.
Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
Yule alikuwa Mkorofi naona hakutaka kujibizana nae.Yule mwingine alikuwa anakaa Chato siku kadhaa na timu yake yote inalipwa perdiem ila Ndugai hakuwahi kuhoji.
MA-CCM sio ya kuamini.