Bunge la JMT lilipitisha tozo ambazo ama kwa hakika zilizua tafrani na kuzua kilio kwa wananchi, bila hata aibu Mwigulu Nchemba akainuka na kudai kuwa ambae hataki kulipa tozo basi ahamie Burundi...
Mkuu Rais kasema tozo zinatekeleza ila kwa kazi ndogo sana.
Kumbuka January 17 shule zinafunguliwa na ktk demand ya madarasa 10,000 tozo imejenga madarasa 560 pekee hivyo kulikua bado na uhitaji wa madarasa 9440...
Acheni ujinga nyinyi..
Kila muama serikali inakusanya kiasi gani kwamwenzi?
Zile za escrow tulisema zinatosha kufanya nini nchi nzima na zilikuwa bil300.
Mkuu Rais kasema tozo zinatekeleza ila kwa kazi ndogo sana.
Kumbuka January 17 shule zinafunguliwa na ktk demand ya madarasa 10,000 tozo imejenga madarasa 560 pekee hivyo kulikua bado na uhitaji wa madarasa 9440 .
Mkuu Rais kasema tozo zinatekeleza ila kwa kazi ndogo sana.
Kumbuka January 17 shule zinafunguliwa na ktk demand ya madarasa 10,000 tozo imejenga madarasa 560 pekee hivyo kulikua bado na uhitaji wa madarasa 9440 .
Bunge la JMT lilipitisha tozo ambazo ama kwa hakika zilizua tafrani na kuzua kilio kwa wananchi, bila hata aibu Mwigulu Nchemba akainuka na kudai kuwa ambae hataki kulipa tozo basi ahamie Burundi...
Ndugai ana hoja ya msingi na itabaki hivyo na wananchi ni waelewa sana na hata sisi baadhi yetu wana CCM tunaelewa tunawaacha Utopolo wajibambe na wajikweze
Bunge la JMT lilipitisha tozo ambazo ama kwa hakika zilizua tafrani na kuzua kilio kwa wananchi, bila hata aibu Mwigulu Nchemba akainuka na kudai kuwa ambae hataki kulipa tozo basi ahamie Burundi.
Sasa kama mlipitisha tozo na mkadai kuwa zinajenga, shule, madarasa, zahanati na vituo vya afya mkopo wa tril 1.3 ajili ya madarasa wa nini?
Hizi tozo mnazokamua wananchi zinatumika kama kwa nini maana mlisema zitajenga madarasa na vituo vya afya.
Ndugai alimchukia sana Prof Assad alioelezwa kuwa bunge lake ni dhaifu, lakini ukweli ni kuwa ni dhaifu, halima meno kuikabaka serikali kwa makosa inayofanya.
Whether kuna watu wa Ccm wanataka kiti cha urais 2025 au hapana lakini ukweli ni kuwa kuna tozo zinaumiza wananchi ili hali kuna mkopo umejenga madarasa.
Sasa mama Samia mbona hazungumzii kama tozo basi au la?
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tozo za miamala ziliwekwa na serikali katika bajeti ya serikali ya mwaka 2021/2022 ili kuwezesha ujenzi wa madarasa nchini. Hivi karibu Serikali imepata fedha kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) ambazo zimetangazwa kutumika kujenga vituo na...
Mahitaji yanaongezeka, idadi ya watu inaongezeka ambao hawawezi kulipa tozo au kodi kubwa sababu ni wanyonge, vijiji vinaongezeka na maendeleo yanatakiwa yafike vijijini watu wasijazane dsm.
Embu leta mapendekezo wanasiasa wanapita humu kama yanafaa yatafanyiwa kazi.
Huko vijijini unakotolea mfano ujue kwamba kulikuwa na harambee za ujenzi wa madarasa na miundo mbinu kama hiyo; zile jitihada za kujenga zingeendelea kwa hamasa zaidi, na tozo zifanye finishing.
Je wananchi waendelee kuamini kuwa serikali inaweza kila kitu, wao wazaliane tu? Kama siyo, je on nini ni mchango wao wa maana kwenye miundombinu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.