Udikteta. Hawataki kukosolewa.Bunge la JMT lilipitisha tozo ambazo ama kwa hakika zilizua tafrani na kuzua kilio kwa wananchi, bila hata aibu Mwigulu Nchemba akainuka na kudai kuwa ambae hataki kulipa tozo basi ahamie Burundi...
Acheni ujinga nyinyi..Mkuu Rais kasema tozo zinatekeleza ila kwa kazi ndogo sana.
Kumbuka January 17 shule zinafunguliwa na ktk demand ya madarasa 10,000 tozo imejenga madarasa 560 pekee hivyo kulikua bado na uhitaji wa madarasa 9440...
Na siku anazinadi tozo aliinanga mikopo kuwa haifai au sio yeyeMkuu Rais kasema tozo zinatekeleza ila kwa kazi ndogo sana.
Kumbuka January 17 shule zinafunguliwa na ktk demand ya madarasa 10,000 tozo imejenga madarasa 560 pekee hivyo kulikua bado na uhitaji wa madarasa 9440 .
Isitoshe mkopo aliokopa hauna riba kwa miaka 20.
Haina maana hii sentensiAchaneni na akili mfu kama hizo..
Rasilimali zako zipi ambazo hazina alternatives nchi nyingine? Taja tatu tu ambazo bei ikiwa juu hazina mbadala.Hivi kwa rasilimali na utajiri wa taifa letu ni wa kwenda kuminya tozo kweny miamala?
Takwimu za matumizi ya wanasiasa wa Jamhuri unazo?Mtu wa kawaida ukizidisha matumizi unafiliska Mwanasiasa akizidisha matumizi
anaongeza kodi.
Nakubaliana na wewe.Aweke sera nzuri za biashara watu wengi walipe kodi.
Achaneni na akili mfu nyiny huwezi justify tozo kisa madarasa..Haina maana hii sentensi
Rasilimali zako zipi ambazo hazina alternatives nchi nyingine? Taja tatu tu.
Takwimu za matumizi ya wanasiasa wa Jamhuri unazo?
Nakubaliana na wewe.
Una porojo zisizo na maana kwa nchi yako.Achaneni na akili mfu nyiny huwezi justify tozo kisa madarasa..
Aliyekuwa anainanga mikopo siku anazinadi tozo sio yeye?
VIchwa panzi samahani kukuita ivo..
Nakuuliza tena, kama tozo zimeshindwa kumaliza tatizo sasa za nini? Maana tatizo linawezwa kunalizwa na mkopo at once.Mkuu Rais kasema tozo zinatekeleza ila kwa kazi ndogo sana.
Kumbuka January 17 shule zinafunguliwa na ktk demand ya madarasa 10,000 tozo imejenga madarasa 560 pekee hivyo kulikua bado na uhitaji wa madarasa 9440 .
Isitoshe mkopo aliokopa hauna riba kwa miaka 20.
Miaka sitini mnahangaika na tozo na madarasaUna porojo zisizo na maana kwa nchi yako.
Hayo madarasa 10,000 yakikamilika kwa hiyo hela ya mkopo na tozo,Hivyo mtoa mada ni kwamba tozo zimejenga vyumba vya madarasa 560 pekee wakati uhitaji ni madarasa 10,000.
Hivyo mkopo umeweza kuharakisha utekelezaji na kuziba gap kwa wakati mfupi.
NB ; Mkopo wa uviko-19 hauna riba kwa miaka 20.
Ndugai ana hoja ya msingi na itabaki hivyo na wananchi ni waelewa sana na hata sisi baadhi yetu wana CCM tunaelewa tunawaacha Utopolo wajibambe na wajikwezeBunge la JMT lilipitisha tozo ambazo ama kwa hakika zilizua tafrani na kuzua kilio kwa wananchi, bila hata aibu Mwigulu Nchemba akainuka na kudai kuwa ambae hataki kulipa tozo basi ahamie Burundi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tozo imepitishwa na bunge sheikhHayo madarasa 10,000 yakikamilika kwa hiyo hela ya mkopo na tozo,
Tozo itastop?
Kwani sheria ya bunge ni msaafu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tozo imepitishwa na bunge sheikh
UjitambuiSamia apigwe chini
Leta mapendekezo yenye tija yatakayofit ndani ya Jamhuri. Hii sio korea.Miaka sitini mnahangaika na tozo na madarasa
Ulizen wenzenu waliwezaje korea kusin, malasia tuliokuwa nao miaka ya uhuru.
Jambo lolote la maendeleo ni mzigo kwa anayetaka hayo maendeleo.Hizi tozo hazitasolve matatizo ya watanzania bali ni mzigo.
Mapendekezo yapi mnataka?Leta mapendekezo yenye tija yatakayofit ndani ya Jamhuri. Hii sio korea.
Jambo lolote la maendeleo ni mzigo kwa anayetaka hayo maendeleo.
Shida ni alivyoiwasilisha ndio tatizo.Bunge la JMT lilipitisha tozo ambazo ama kwa hakika zilizua tafrani na kuzua kilio kwa wananchi, bila hata aibu Mwigulu Nchemba akainuka na kudai kuwa ambae hataki kulipa tozo basi ahamie Burundi.
Sasa kama mlipitisha tozo na mkadai kuwa zinajenga, shule, madarasa, zahanati na vituo vya afya mkopo wa tril 1.3 ajili ya madarasa wa nini?
Hizi tozo mnazokamua wananchi zinatumika kama kwa nini maana mlisema zitajenga madarasa na vituo vya afya.
Ndugai alimchukia sana Prof Assad alioelezwa kuwa bunge lake ni dhaifu, lakini ukweli ni kuwa ni dhaifu, halima meno kuikabaka serikali kwa makosa inayofanya.
Whether kuna watu wa Ccm wanataka kiti cha urais 2025 au hapana lakini ukweli ni kuwa kuna tozo zinaumiza wananchi ili hali kuna mkopo umejenga madarasa.
Sasa mama Samia mbona hazungumzii kama tozo basi au la?
Zitto: Tozo za miamala ziondolewe kwa sababu kuna hela ya IMF
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tozo za miamala ziliwekwa na serikali katika bajeti ya serikali ya mwaka 2021/2022 ili kuwezesha ujenzi wa madarasa nchini. Hivi karibu Serikali imepata fedha kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) ambazo zimetangazwa kutumika kujenga vituo na...www.jamiiforums.com
Wewe umefanya nini kuhakikisha hizo rasilimali zinaleta tija au unaongea tuu?Achaneni na akili mfu kama hizo.
Hivi kwa rasilimali na utajiri wa taifa letu ni wa kwenda kuminya tozo kweny miamala?
Mtu wa kawaida ukizidisha matumizi unafiliska Mwanasiasa akizidisha matumizi anaongeza kodi.
Aweke sera nzuri za biashara watu wengi walipe kodi.
Rais gani anaitisha press kupiga vijembe kina ndugai badala ya kuongea sera kwa ajili ya maendeleo ya nchi?Ujitambui
Huko vijijini unakotolea mfano ujue kwamba kulikuwa na harambee za ujenzi wa madarasa na miundo mbinu kama hiyo; zile jitihada za kujenga zingeendelea kwa hamasa zaidi, na tozo zifanye finishing.Mahitaji yanaongezeka, idadi ya watu inaongezeka ambao hawawezi kulipa tozo au kodi kubwa sababu ni wanyonge, vijiji vinaongezeka na maendeleo yanatakiwa yafike vijijini watu wasijazane dsm.
Embu leta mapendekezo wanasiasa wanapita humu kama yanafaa yatafanyiwa kazi.