Spika Ndugai amewafukuza Bungeni mara kadhaa Halima Mdee na Esther Bulaya kwa utovu wa nidhamu. Je, aliwaonea?

Spika Ndugai amewafukuza Bungeni mara kadhaa Halima Mdee na Esther Bulaya kwa utovu wa nidhamu. Je, aliwaonea?

Kuwatetea Halima James Mdee na Esther Bulaya kuhusiana na utovu wa nidhamu ni lazima ujitoe ufahamu kidogo.

Tukitaka kujenga jamii ya watu waadilifu ni lazima tuwe wakweli...
Wakati mwingine una akili nzuri Bwashee !!. Bahati mbaya mahakama zetu ndo hivyo
 
Hoja ya Ndugai japo haina mashiko ni kwamba eti wale akina mama wamehukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea na hiyo kwake yeye ni muendelezo wa mfumo dume🙂
Mfumo dume ni ule wa vyama vyote vya siasa nchini kuwa na wenyeviti wanaume!
 
Kuwatetea Halima James Mdee na Esther Bulaya kuhusiana na utovu wa nidhamu ni lazima ujitoe ufahamu kidogo.

Tukitaka kujenga jamii ya watu waadilifu ni lazima tuwe wakweli....
Hivi ni Joni niliyemfahamu ama mwingine, ama baada ya malengo yake ya kisayansi kutimia ameamua kubadili mtazamo,au danganya toto.
 
Mliingia kwenye uchaguzi mkiwa mnajua mtashindwa na uadilifu hakuna kwanini hamkujitoa!
Ndio mnaamka sasa? Toka lini wezi wa kura wakawa waadilifu? Kama ni mkweli anzia kwenye zoezi zima lilitoa hao wabunge, mchakato ule haukuwa wa kiadilifu, unategemea spika wa bunge kama hilo awe muadilifu?
 
Leo ndo unajua kuwa Ndungai anafanya ndivyo sivyo? Hii serikali hasa ya awamu ya tano na ccm yake ni hovyo kweli kweli.
 
Shida ni kwamba wamevuliwa uanachama kwa wivu.

Alafu katiba ni makaratasi tu ndio maana hata hapo chadema yakichanwa yakaandikwa upya ili Mbowe awe mwenyekiti wa kudumu
Sofia Simba akiwa na cheo kama cha Halima alivuliwa ubunge kwa sababu zipi ?!. Kusifu na kuabudu nothing else
 
Kuwatetea Halima James Mdee na Esther Bulaya kuhusiana na utovu wa nidhamu ni lazima ujitoe ufahamu kidogo.

Tukitaka kujenga jamii ya watu waadilifu ni lazima tuwe wakweli...
Johnthepabtist bado nasisitiza kuendelea kukuunga mkono pamoja na wewe kuwa ni CCM. Penye ukweli lazima usemwe bila kujali tofauti ya itikadi ya vyama.

Yeye Ndugai anavyofanya anahisi kama anamkomoa Mbowe na viongozi wengine wa CHADEMA; kumbe anawekera na kuwakomoa watu wengi sana walio na vyama na hata wasio na vyama kwa matendo yake ya kihuni yanayokwenda kinyume na katiba yetu ya Nchi. Very unfair.
 
Leo ndo unajua kuwa Ndungai anafanya ndivyo sivyo? Hii serikali hasa ya awamu ya tano na ccm yake ni hovyo kweli kweli.
Halima na Esther ni wakorofi hata magereza wanajulikana!
 
Naona umeanza kufanyia kazi mahubiri ya Askofu Mtetemela mkuu

Ila kumsikiliza anachozungumza KAZI ni kupoteza muda maana hana maamuzi ambayo anaweza kuyasimamia mfano mdogo kwenye sakata la wabunge wa CUF walipofukuzwa tu Prof. kwa kasi ya mwanga akawa kashapata taarifa zao na akawatambua siyo wabunge tena na kwa kasi ileile akapata wapya akawatambua.

Leo wale ambao wamefukuzwa na Chadema anasema hao bado ni wabunge sasa mtu wa design hii unamsikiliza wa nini!?
Askofu Mtetemela amenibariki sana!
 
Shida ni kwamba wamevuliwa uanachama kwa wivu.

Alafu katiba ni makaratasi tu ndio maana hata hapo chadema yakichanwa yakaandikwa upya ili Mbowe awe mwenyekiti wa kudumu
Hapa mataga unazidi kujizalilisha tu hili boko la ndugai kila mtetezi wa mataga analikwepa hadi shetani mwenyewe.
 
Kuwatetea Halima James Mdee na Esther Bulaya kuhusiana na utovu wa nidhamu ni lazima ujitoe ufahamu kidogo.

Tukitaka kujenga jamii ya watu waadilifu ni lazima tuwe wakweli...
Ndungai aweza kuwa ndiyo Spika wa hovyo kupata kutoa karne hii kasahau vioja vyake kwa wabunge wa CUF, Ndungai haendeshi Bunge kwa mjibu wa Sheria na katiba bali anaendesha bunge kwa Sheria zake binafsi na kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu malaika mwenyekiti wa CCM
 
Ndio mnaamka sasa? Toka lini wezi wa kura wakawa waadilifu? Kama ni mkweli anzia kwenye zoezi zima lilitoa hao wabunge, mchakato ule haukuwa wa kiadilifu, unategemea spika wa bunge kama hilo awe muadilifu?

Tindo,
Umemtendea vema huyu Mbazaji! Anatafuta njia za kuhalalisha haramu!
 
Shida ni kwamba wamevuliwa uanachama kwa wivu.

Alafu katiba ni makaratasi tu ndio maana hata hapo chadema yakichanwa yakaandikwa upya ili Mbowe awe mwenyekiti wa kudumu
Eti katiba ni makaratasi tu,ungejua huyu mtu wako unamuita supika au rais kwa sababu ya hayo makaratasi na nje ya hayo makaratasi hakuna mtu mwenye cheo cha rais wala supika,usingeharisha hapa
 
Back
Top Bottom