Spika Ndugai amewafukuza Bungeni mara kadhaa Halima Mdee na Esther Bulaya kwa utovu wa nidhamu. Je, aliwaonea?

Spika Ndugai amewafukuza Bungeni mara kadhaa Halima Mdee na Esther Bulaya kwa utovu wa nidhamu. Je, aliwaonea?

Kuwatetea Halima James Mdee na Esther Bulaya kuhusiana na utovu wa nidhamu ni lazima ujitoe ufahamu kidogo.

Tukitaka kujenga jamii ya watu waadilifu ni lazima tuwe wakweli...
Wakati huo walipokuwa Chadema walikuwa na sura na maumbile ya kiume.
 
Halima na wenzake wameadhibiwa na Mbowe sababu ya wivu.

Wewe unafikiri kina Mbowe wangepata ubunge wangesusia huo ubunge kisa hawatambui uchguzi?

Tangu enzi za Slaa wanalia kuibiwa lakini hawajawahi kususa kuwa wabunge!

Nasema spika awakinde hao kina dada.
Wakati mwingine uwe unatumia angalau 10% ya akili ulizojaaliwa na Muumba. Tupo watu hatuna vyama, lakini akina Halima, wamekosea. Hakuna taasisi isiyofuata taratibu
Ni lini Kamati kuu iliwateua akina Halima?
Bawacha walipaswa wapendekeze majina nasikia matatu kila mkoa, cha ajabu wamejichagua viongozi watupu, tena wengi ni waliokua wagombea. Kiukweli, kwa taasisi yoyote makini, walipaswa KUFUKUZWA, kama ilivyofanyika. Ama kuwa Wabunge, hiyo ni issue nyingine na ya Muhimili mwingine.
 
Kuwatetea Halima James Mdee na Esther Bulaya kuhusiana na utovu wa nidhamu ni lazima ujitoe ufahamu kidogo.

Tukitaka kujenga jamii ya watu waadilifu ni lazima tuwe wakweli....
2017, CCM ilimfukuza Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT na mbunge wa VM) kwa tuhuma zikiwepo kumuunga mkono Edward Lowassa (aliyehamia CCM wakati huo). Lakini Ndugai hakusimama kusema CCM hii ya Magufuli inawanyanyasa wanawake. Ikawasamehe wanaume na kumpa adhabu mwanamke.
 
Huyu ndugai bora ange kaa kimya anazidi kudhilisha jinsi gani yupo behind the scene ya hii movie
 
Halima na wenzake wameadhibiwa na Mbowe sababu ya wivu.

Wewe unafikiri kina Mbowe wangepata ubunge wangesusia huo ubunge kisa hawatambui uchguzi?...
Unaelewa hata kwa mbaali kauli ya SASA BASI?
 
Kuwatetea Halima James Mdee na Esther Bulaya kuhusiana na utovu wa nidhamu ni lazima ujitoe ufahamu kidogo.

Tukitaka kujenga jamii ya watu waadilifu ni lazima tuwe wakweli...!
Kwa kawaida ushuzi unatokea tumboni, kile kijambio ni Speaker tu.
 
Mliingia kwenye uchaguzi mkiwa mnajua mtashindwa na uadilifu hakuna kwanini hamkujitoa!

kuna watu walikuwa hawaamini kuwa nyie sio waadilifu, hivyo wote waliokuwa hawaamini kila mmoja kushuhudia kwa macho yake.
 
Wanasiasa jamani eti leo ndugai anaheshimu wanawake [emoji2303][emoji2303][emoji23][emoji23]
 
Kuwatetea Halima James Mdee na Esther Bulaya kuhusiana na utovu wa nidhamu ni lazima ujitoe ufahamu kidogo.

Tukitaka kujenga jamii ya watu waadilifu ni lazima tuwe wakweli....
Bwashee unaelekea kupona kabisa. Hapo umesimama mwenyewe, hujasimamiwa ama la unawakomoa [emoji851][emoji851]
 
Back
Top Bottom