Spika Ndugai amewafukuza Bungeni mara kadhaa Halima Mdee na Esther Bulaya kwa utovu wa nidhamu. Je, aliwaonea?

Spika Ndugai amewafukuza Bungeni mara kadhaa Halima Mdee na Esther Bulaya kwa utovu wa nidhamu. Je, aliwaonea?

Katika watu ambao hamnaga akili wewe ni mmojawapo. Kinaongelewa kingine unajibu lingine. Hebu jaribu kuwa na hoja kama wenzako kina babtist ambao ni CCM wenzako wenye hoja za msingi wakati fulani na sio kuropoka upuuzi kila wakati.
Twende buguruni shell tukaandamane lissu anatusubiri!
 
Ndio mnaamka sasa? Toka lini wezi wa kura wakawa waadilifu? Kama ni mkweli anzia kwenye zoezi zima lilitoa hao wabunge, mchakato ule haukuwa wa kiadilifu, unategemea spika wa bunge kama hilo awe muadilifu?
Daah, jitu limekatwa vidole mguuni, na sasa anajidhihirisha kuwa amekatwa na ubongo pia!!!!
 
Alikuwa alitumia mfumo jike, aliwanyanyasa kijinsia sababu ni wanawake, alifanya ubaguzi.
 
Kuwatetea Halima James Mdee na Esther Bulaya kuhusiana na utovu wa nidhamu ni lazima ujitoe ufahamu kidogo.

Tukitaka kujenga jamii ya watu waadilifu ni lazima tuwe wakweli...
Adhabu inalenga kumrekebisha mtu! Inaonesha wewe unaamini kuwa mkosaji huwa harekebishwi
 
Naona umeanza kufanyia kazi mahubiri ya Askofu Mtetemela mkuu

Ila kumsikiliza anachozungumza KAZI ni kupoteza muda maana hana maamuzi ambayo anaweza kuyasimamia mfano mdogo kwenye sakata la wabunge wa CUF walipofukuzwa tu Prof. kwa kasi ya mwanga akawa kashapata taarifa zao na akawatambua siyo wabunge tena na kwa kasi ileile akapata wapya akawatambua.

Leo wale ambao wamefukuzwa na Chadema anasema hao bado ni wabunge sasa mtu wa design hii unamsikiliza wa nini!?
Binafsi namuona ndugai km mlevi tu

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Halima na wenzake wameadhibiwa na Mbowe sababu ya wivu.

Wewe unafikiri kina Mbowe wangepata ubunge wangesusia huo ubunge kisa hawatambui uchguzi?

Tangu enzi za Slaa wanalia kuibiwa lakini hawajawahi kususa kuwa wabunge!

Nasema spika awakinde hao kina dada.
Tahira wewe! Kwa hiyo na ninyi ccm mlipomfukuza Sofia Simba ilikuwa ni kwasababu ya wivu?

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Hoja ya Ndugai japo haina mashiko ni kwamba eti wale akina mama wamehukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea na hiyo kwake yeye ni muendelezo wa mfumo dume[emoji846]

Je, ni kweli hawakupewa nafasi?

Nakumbuka walikaidi wito kwa jeuri kuwa kuna vitisho!
 
Hakuwafukuza hadharani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani shida yenu ni nn?
Uanachama si tayari Mmewavua?
Sasa mbona makelele meeeengi
Au mlitaka na ubunge wakose, then nyie mnapata faida gani?
Hivi Sophia Simba alikiwa jinsia na Chama gani vile [emoji23][emoji23][emoji23] Ndugai bhuana maendeleo hayana Chama.
 
Hivi Sophia Simba alikiwa jinsia na Chama gani vile [emoji23][emoji23][emoji23] Ndugai bhuana maendeleo hayana Chama.
Nilichogundua ni kuwa vijana wengi mna wivu tu

Yan hapo unatamani Mdee afukuzwe chama na ubunge akose then awe anahangaika tu ndio furaha yenu
 
Muacha achape kazi na genge lake la wahuni
 
Back
Top Bottom