Halima mdee na covid 19 sasa wanatetewa na wale waliowabambikia kesi kuwapiga risasiNdio mnaamka sasa? Toka lini wezi wa kura wakawa waadilifu? Kama ni mkweli anzia kwenye zoezi zima lilitoa hao wabunge, mchakato ule haukuwa wa kiadilifu, unategemea spika wa bunge kama hilo awe muadilifu?
Kutamfaa nini mtu kuupata ulimwengu wote na yeye mwenyewe aje apate hasara ya nafsi yake?!!Bwashee una hasira za kukosa kwenye list ya walimu walioajiriwa nn
Wokovu umekaribia Tanzania.Kutamfaa nini mtu kuupata ulimwengu wote na yeye mwenyewe aje apate hasara ya nafsi yake?!!
Yesu alisema dunia ni giza!Tindo,
Umemtendea vema huyu Mbazaji! Anatafuta njia za kuhalalisha haramu!
Mungu ni mwema wakati wote!Wokovu umekaribia Tanzania.
Wakati huo walipokuwa Chadema walikuwa na sura na maumbile ya kiume.Kuwatetea Halima James Mdee na Esther Bulaya kuhusiana na utovu wa nidhamu ni lazima ujitoe ufahamu kidogo.
Tukitaka kujenga jamii ya watu waadilifu ni lazima tuwe wakweli...
Wakati mwingine uwe unatumia angalau 10% ya akili ulizojaaliwa na Muumba. Tupo watu hatuna vyama, lakini akina Halima, wamekosea. Hakuna taasisi isiyofuata taratibuHalima na wenzake wameadhibiwa na Mbowe sababu ya wivu.
Wewe unafikiri kina Mbowe wangepata ubunge wangesusia huo ubunge kisa hawatambui uchguzi?
Tangu enzi za Slaa wanalia kuibiwa lakini hawajawahi kususa kuwa wabunge!
Nasema spika awakinde hao kina dada.
2017, CCM ilimfukuza Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT na mbunge wa VM) kwa tuhuma zikiwepo kumuunga mkono Edward Lowassa (aliyehamia CCM wakati huo). Lakini Ndugai hakusimama kusema CCM hii ya Magufuli inawanyanyasa wanawake. Ikawasamehe wanaume na kumpa adhabu mwanamke.Kuwatetea Halima James Mdee na Esther Bulaya kuhusiana na utovu wa nidhamu ni lazima ujitoe ufahamu kidogo.
Tukitaka kujenga jamii ya watu waadilifu ni lazima tuwe wakweli....
Hao uliowataja ni makada, wewe ni mwanachama wa kawaida tu mwenye njaa yake.Membe na Lowasa wako wapi?
Kuwatetea Halima James Mdee na Esther Bulaya kuhusiana na utovu wa nidhamu ni lazima ujitoe ufahamu kidogo.
Tukitaka kujenga jamii ya watu waadilifu ni lazima tuwe wakweli...
Basi jipige kifuasi ukijiambia mimi ni nyumbuHao uliowataja ni makada, wewe ni mwanachama wa kawaida tu mwenye njaa yake.
Unaelewa hata kwa mbaali kauli ya SASA BASI?Halima na wenzake wameadhibiwa na Mbowe sababu ya wivu.
Wewe unafikiri kina Mbowe wangepata ubunge wangesusia huo ubunge kisa hawatambui uchguzi?...
Kwa kawaida ushuzi unatokea tumboni, kile kijambio ni Speaker tu.Kuwatetea Halima James Mdee na Esther Bulaya kuhusiana na utovu wa nidhamu ni lazima ujitoe ufahamu kidogo.
Tukitaka kujenga jamii ya watu waadilifu ni lazima tuwe wakweli...!
Mliingia kwenye uchaguzi mkiwa mnajua mtashindwa na uadilifu hakuna kwanini hamkujitoa!
Wivu unaujua ?!. Wenye wivu wanawaibia wenzao kura ili wabaki wenyeweChadema imewafukuza sababu ya wivu
Bwashee unaelekea kupona kabisa. Hapo umesimama mwenyewe, hujasimamiwa ama la unawakomoa [emoji851][emoji851]Kuwatetea Halima James Mdee na Esther Bulaya kuhusiana na utovu wa nidhamu ni lazima ujitoe ufahamu kidogo.
Tukitaka kujenga jamii ya watu waadilifu ni lazima tuwe wakweli....
Mungu akusamehe!Ukweli ni kwamba CCM wote ni wachawi
Kaitwa na kukaribishwa kundini kwa mikono miwili na Bashiru ... unasemaje hapo mtovu wa nidhamu kaitwa aje kwenu veeepeNazungumzia nidhamu ya Halima James Mdee usichanganye mambo!