kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Twende buguruni shell tukaandamane lissu anatusubiri!Katika watu ambao hamnaga akili wewe ni mmojawapo. Kinaongelewa kingine unajibu lingine. Hebu jaribu kuwa na hoja kama wenzako kina babtist ambao ni CCM wenzako wenye hoja za msingi wakati fulani na sio kuropoka upuuzi kila wakati.
Sasa mngetumia wapi sayansi?
Daah, jitu limekatwa vidole mguuni, na sasa anajidhihirisha kuwa amekatwa na ubongo pia!!!!Ndio mnaamka sasa? Toka lini wezi wa kura wakawa waadilifu? Kama ni mkweli anzia kwenye zoezi zima lilitoa hao wabunge, mchakato ule haukuwa wa kiadilifu, unategemea spika wa bunge kama hilo awe muadilifu?
Wamepewa siku 30 za kukata rufaa.Milango ipo wazi badoWaliitwa kwenye mkutano hawakutokea, walipewa link ya kuongea kwa zoom wahakuongea sasa alitaka hukumu iweje?
Membe tuko naye huku Rondo tunakula mikopa kwa kwenda mbele 😅😅😅Membe na Lowasa wako wapi?
Adhabu inalenga kumrekebisha mtu! Inaonesha wewe unaamini kuwa mkosaji huwa harekebishwiKuwatetea Halima James Mdee na Esther Bulaya kuhusiana na utovu wa nidhamu ni lazima ujitoe ufahamu kidogo.
Tukitaka kujenga jamii ya watu waadilifu ni lazima tuwe wakweli...
Binafsi namuona ndugai km mlevi tuNaona umeanza kufanyia kazi mahubiri ya Askofu Mtetemela mkuu
Ila kumsikiliza anachozungumza KAZI ni kupoteza muda maana hana maamuzi ambayo anaweza kuyasimamia mfano mdogo kwenye sakata la wabunge wa CUF walipofukuzwa tu Prof. kwa kasi ya mwanga akawa kashapata taarifa zao na akawatambua siyo wabunge tena na kwa kasi ileile akapata wapya akawatambua.
Leo wale ambao wamefukuzwa na Chadema anasema hao bado ni wabunge sasa mtu wa design hii unamsikiliza wa nini!?
Tahira wewe! Kwa hiyo na ninyi ccm mlipomfukuza Sofia Simba ilikuwa ni kwasababu ya wivu?Halima na wenzake wameadhibiwa na Mbowe sababu ya wivu.
Wewe unafikiri kina Mbowe wangepata ubunge wangesusia huo ubunge kisa hawatambui uchguzi?
Tangu enzi za Slaa wanalia kuibiwa lakini hawajawahi kususa kuwa wabunge!
Nasema spika awakinde hao kina dada.
Aisee!!!!watu km ninyi ni hasara kubwa sana kwa taifa.Shida ni kwamba wamevuliwa uanachama kwa wivu.
Alafu katiba ni makaratasi tu ndio maana hata hapo chadema yakichanwa yakaandikwa upya ili Mbowe awe mwenyekiti wa kudumu
Nidhani wenye vipara wana busara,kumbe hamna kabisa.Sasa umekomenti matapishi gani hayo?.Mlijua fika haki haitotendeka lakini mkashiriki uchaguzi!
Hoja ya Ndugai japo haina mashiko ni kwamba eti wale akina mama wamehukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea na hiyo kwake yeye ni muendelezo wa mfumo dume[emoji846]
Membe tuko naye huku Rondo tunakula mikopa kwa kwenda mbele [emoji28][emoji28][emoji28]
Hivi Sophia Simba alikiwa jinsia na Chama gani vile [emoji23][emoji23][emoji23] Ndugai bhuana maendeleo hayana Chama.Kwani shida yenu ni nn?
Uanachama si tayari Mmewavua?
Sasa mbona makelele meeeengi
Au mlitaka na ubunge wakose, then nyie mnapata faida gani?
Nilichogundua ni kuwa vijana wengi mna wivu tuHivi Sophia Simba alikiwa jinsia na Chama gani vile [emoji23][emoji23][emoji23] Ndugai bhuana maendeleo hayana Chama.
Wewe ni jinsia gani vile?Nilichogundua ni kuwa vijana wengi mna wivu tu
Yan hapo unatamani Mdee afukuzwe chama na ubunge akose then awe anahangaika tu ndio furaha yenu
Hapa ni jf naenda Facebook kwa watoto wenzako