Spika Ndugai amewafukuza Bungeni mara kadhaa Halima Mdee na Esther Bulaya kwa utovu wa nidhamu. Je, aliwaonea?

Awakinge kwa sheria ipi?

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Nimeipenda hiyo ' tunaweza kujificha lakini Mungu anatuona'.
 
Kwani shida yenu ni nn?
Uanachama si tayari Mmewavua?
Sasa mbona makelele meeeengi
Au mlitaka na ubunge wakose, then nyie mnapata faida gani?
Kama unakubali wamevuliwa uanachama, kubali pia si wabunge! Huwezi kuwa mbunge asiye na chama nchi hii! Unless hujui unachoongea na huijui katiba!
 
Hivi unaweza kumwamini mtu kama Spika Ndugai?
Nani asiyemjua Ndugai kiongozi mnafiki,mzandiki, mwongo,dikteta na muuaji mkubwa? Nani asiyejua kuwa alimtwanga na gongo tena mwana CCM mwenzake mpaka akazimia?Aache ungese pse!!
 
Kama unakubali wamevuliwa uanachama, kubali pia si wabunge! Huwezi kuwa mbunge asiye na chama nchi hii! Unless hujui unachoongea na huijui katiba!
Ww na familia yako unapata faida gani wao wasipokuwa wabunge?
 
Swali la kipumbaaaf....!!!
Kama hujui hoja inayoongelewa kaa kimya!!!Tunachotetea hapa ni Katiba na Sheria ya JMT. Full stop.
Nenda kafungue kesi mahakamani kama una hoja

Umekaa na kitekno chako unapiga piga kelele tu hapa
 
Tunaanza kuongea lugha moja na wana CCM kindakindaki, waliobaki kushabikia ni wale vichwa box wanaoishi mjini kwa hisani ya kulamba miguu.

Nchi inatengeneza utaratibu mbovu ambao kwa kiasi kikubwa siku za nyuma haukuwepo, Ndungai na Magu ni mabingwa wakulamba matapishi yao wenyewe na wala hawaoni aibu, hawaogopi maana wameshajihakikishia hatuna chakuwafanya, Haya endeleeni kuua upinzani.
 
Kuanzia leo hutoitwa tena binti kiziwi kwa kuwa uliitwa jina hili baada ya kubatizwa kwa maji,nakubatiza kwa moto na kuanzia leo utaitwa binti imara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…