johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee wewe ni " mbuni" tu usidhani umejificha.Narudia tena JUHA wacha kujikweza kama vile unanifahamu. Eti mtukufu ndugai ana utukufu gani huyo jizi kubwa lilichota bilioni 28.7 hazina eti za matibabu India? Ni ugonjwa upi huo unatibiwa kwa $12 millions? Acha kuchafua neno utukufu!
Bwashee wewe ni " mbuni" tu usidhani umejificha.
Narudia tena Ndugai amesema akiwafukuza wabunge wa Chadema dunia nzima ikiwemo Ubelgiji watamshangaa hivyo hatowafukuza kamwe.
Nendeni mahakamani !
Hahahaaaa Bwashee wa Mombasa umeshafura!Kwa UFINYU wa akili yako unadhani unanifahamu endelea kujidanganya. Huyo ndugai ni kichaa kama ulivyo wewe. Kwa hiyo kinachotoka mdomoni kwake siku zote hakiingii akilini ila MPUAMBAVU wewe huelewi hilo.
Au nasema uongo ndugu zangu?Yamekuwa Hayo
Kweli Kurukaruka Kwa Maharage Ndiyo Kuiva Kwake
[emoji16][emoji23][emoji3][emoji28][emoji1][emoji1][emoji2]
Chadema waende mahakamani kufanya Nini? Wao wameshawafukuza uwanachama Basi.Wewe mbwiga wa Mombasa nimekuuliza mzee Msekwa ni nani?
Aende basi akawatoe mashujaa 19 wa Chadema pale bungeni.
Spika Job Ndugai amewaambia nendeni mahakamani ndio mtajua hamjui!v
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Kumuelewa mwehu kunahtaji uvumilivu.Umemuelewa Spika Ndugai lakini au unashangilia tu!
Kwani wewe hukuwepo hapa nchini mpaka unauliza uchaguzi gani?
Haahaa unasifia ujinga...Wapumbavu mmejazana hapo Ufipa chama kizima mnazidiwa akili na watoto wawili tu wa kike Halima James Mdee na Esther Amos Bulaya.
Chadema ni bure kabisa......wanawake wako bungeni wanaume mnasubiri mkate posho zao za ubunge mlipane mishahara, pambaf kabisa!
Kwa maoni yangu Ile press ni taarifa rasmi kwa umma, kina mdee wakiingia bungeni pia watakuwa wanavunja katiba vilevileSpeaker anapaswa kupingwa kwa facts. Kuna loophole sehemu flani hivi na CCM wanataka kuitumia vizuri...
Kichekesho ni kwamba hata walioapishwa hawafahamiki wala sio habari, lakini habari ni hao viti maalum waliofukuzwa na cdm!Mpuuzi huyu babu hana lolote, hivi leo alikuwa anawaapisha akina Halima tena au mm ndiyo sielewi maana kazungumzia mambo ya akina Halima tena?
Wivu tu wa wanaume wachadema.
leo msekwa pius amekuwa baba yenu?? Kisa tu kaonekana kuwaaunga mkono katika ujinga wenu sio??🤔🤔Unamaanisha hata baba Msekwa pia alikua hajitambui kusema kisheria hawana haki ya kuwa wabunge?
Fuatilia ofisi ya bunge upate ukweliSpeaker anapaswa kupingwa kwa facts. Kuna loophole sehemu flani hivi na CCM wanataka kuitumia vizuri...
Spika Ndugai amesema aliwaapisha wabunge 19 wa CHADEMA baada ya kupokea majina kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na pia kuyasoma majina hayo katika Gazeti la Serikali..
Hii chenga CHADEMA watapigwa hadi oktoba 2025.