Fikiria unaambiwa ufundishe Physics, Chemistry, Biology na Mathematics A-level.
Mziki wake unauonaje?
Kuna kusahihisha madftari ya watoto, na madarasa ndio yamejazwa watoto 100 - 400 kwa darasa.Hayo masomo matatu hadi matano ya kufundishwa na mtu mmoja ni masomo gani hayo?
Yani kwa mfano mwl afundishe masomo yafuatayo:
Physics
Geography
Chemistry
Biology
Kiswahili
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Ndugai BURE kabisa.
Hii nchi inatawaliwa na viongozi wenye uwezo mdogo wa kufikiri kiasi cha kushangaza wameingiaje madarakani! Kila siku wanatoa matamko yaliyojaa mkanganganyiko mpaka inashangaza.Hayo masomo matatu hadi matano ya kufundishwa na mtu mmoja ni masomo gani hayo?
Yani kwa mfano mwl afundishe masomo yafuatayo:
Physics
Geography
Chemistry
Biology
Kiswahili
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Ndugai BURE kabisa.
Unawasomea gazeti mwisho wa mwezi mshahara unaingiaWala hautakiwi kuumiza kichwa. Unaburuza tu bora liende. Watajijua wenyewe. Wanafikiri kufundisha ni kazi nyepesi.
Hilo somo moja wanafunzi wangapi? Tuanzie hapo.Akikazia mawazo ya wabunge kama kawaida yake nimemsikia Mh Speaker ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuwaongezea masomo ya kufundisha walimu kwa maana ya kuwafundisha kuyafundisha tangu wakiwa vyuoni hasa vyuo vikuu ili kupunguza uhaba wa walimu na kuongeza tija kwa wanafunzi.
Akitolea mfano wa Balozi Mbelwa Kairuki alichomsimulia kule China mwaka jana, Ndugai amesema kuwa kule China vijana wanajua mambo mengi sio kama hapa Tanzania ambapo kijana anajua kazi moja tu kama ni fundi ujenzi ni ujenzi tu na kama ni kuchomelea ni kuchomelea tu.
"Kwanini mwalimu wa high school nafundisha somo moja" eti mmesomea kufundisha somo moja tu ili iweje na uhaba huu wa walimu alihoji speaker Ndugai.
Anatakiwa afundishe masomo matatu, manne au hata kuendelea .hali iliyoibua hoja ya mkwamo wa walimu wanaongojea kazi serkalini na kujiuliza watakwenda wapi? Kama wazo la speaker litafanyiwa kazi.
malizia supika mbovu za wanavillage😆
Mfano mimi mwalimu, nafundisha somo X kidoto Y wanafunzi 400 na kidato S wanafunzi 350. Jumla ni wanafunzi 750 nikiongezewa somo moja kwa vidato vilevile jumla itakuwa 1500. Nikitoa kazi, zoezi au jaribio itabidi nisahihishe wanafunzi 1500.Hayo ni mawazo ya spika [emoji3][emoji3]
Mfano mimi mwalimu, nafundisha somo X kidoto Y wanafunzi 400 na kidato S wanafunzi 350. Jumla ni wanafunzi 750 nikiongezewa somo moja kwa vidato vilevile jumla itakuwa 1500. Nikitoa kazi, zoezi au jaribio itabidi nisahihishe wanafunzi 1500.
Huku ni kufikiri au kubashiri
Na sasa kwa vile kundi ni lile lile watashangiliana na kuimbiana mapambio ya sifa huku wanyonge wakiumiaShida ya watu wa CCM huwa wanajiona wazalendo na wana uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko watu wengine wote.