Hii nchi ina maajabu sana.,pamoja na mbunge tajwa hapo juu aliekuwa akiwakilisha jimbo la ndanda kupitia chadema kutangaza kujihuzulu ubunge na kujivua uanachama wa chadema na kujiunga na CCM.,lakini bado anaendelea kupata stahiki zote kama mbunge na ndugai bado anamtambua kuwa Cecil Mwambe ni mbunge wa bunge la jamuhuri.
Kitendo cha Mwambi kuhamia ccm kilimpotezea sifa ya kuendelea kuwa mbunge .,hili la leo Spika wa Bunge amedhihirisha udhaifu alionao.,spika ni dhaifu na Bunge la 11 ni Bunge dhaifu mno katika historia ya Tanzania.
Sent from my iPhone using JamiiForums