Spika Ndugai atangaza kutambua Ubunge wa Cecil Mwambe aliyejiuzulu Ubunge na uanachama CHADEMA

Spika Ndugai atangaza kutambua Ubunge wa Cecil Mwambe aliyejiuzulu Ubunge na uanachama CHADEMA

Muhemko wa nini? au hujaona hilo ni swali. angalia post ya Comte ujifunze kujibu na wengine waelewe pia utaratibu.

ndugai alipokea barua ya mnyika mbona kutaarifiwa kuhusu cecil mwambe..,au hujamsikia akisema hatambui barua ya mnyika dhidi ya cecil mwambe ..

au hilo hamkuliona.?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwani sheria inasemaje?
Spika hawezi kuchukua hatua mpaka tume ya uchaguzi iwe imemtaarifu kwamba jimbo fulani liko wazi kutokana na sababu tajwa.

Je, Kuna mtu ana ushahidi kwamba spika kesha taarifiwa na Tume?
Nani mwenye wajibu wa kutoa taarifa Tume ya Uchaguzi kuwa mbunge X si mbunge au kafariki au katimuliwa na chama chake? Ni huyo huyo Spika
 
Nimewahi kuuliza humu, process hii ikoje? Nadhani kuna umuhimu wa chombo kingine kama mahakama kudhibitisha haya mambo. Maana Lipumba alijiuzulu mara akawa hajajiuzulu, wale madiwani Tanga wakajiuzulu lakini bado wanakula posho.

Na hii kama sio Kigogo kufunua kuwa bado anakula Salary na mkopo kulipiwa wangepiga kimya hawa. Chadema wafanye kweli sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana chama husika lazima kimwandikie Spika kukoma kwa uanachama wa mbunge husika (wanaojua hili wanaweza kutuambia) ndiyo maana pia nimehoji utaratibu wa mtu kuhama chama mara baada ya bunge kuisha umetokea wapi?

Ndugai amethibitisha kupokea barua ya kutaarifiwa toka kwa katibu mkuu wa Chadema JJ Mnyika na kaitupilia mbali na kusema kuwa haina maana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna kikundi cha watu wameshaigeuza hii nchi kama "Nyumba Ndogo" yao. Kwa hapa tulipofikia kwa sasa tunahitaji Devils Alternative!!!
 
Hii nchi ina maajabu sana.,pamoja na mbunge tajwa hapo juu aliekuwa akiwakilisha jimbo la ndanda kupitia chadema kutangaza kujihuzulu ubunge na kujivua uanachama wa chadema na kujiunga na CCM.,lakini bado anaendelea kupata stahiki zote kama mbunge na ndugai bado anamtambua kuwa Cecil Mwambe ni mbunge wa bunge la jamuhuri.

Kitendo cha Mwambi kuhamia ccm kilimpotezea sifa ya kuendelea kuwa mbunge .,hili la leo Spika wa Bunge amedhihirisha udhaifu alionao.,spika ni dhaifu na Bunge la 11 ni Bunge dhaifu mno katika historia ya Tanzania.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Shetani anamsaidia Ndugai kujimaliza
 
Asante Comte
Sasa nani anatakiwa kumtaarifu Spika kwa maandishi? inawezekana kuna mawasiliano hayapo hapa katikati. Hata hili swala la wabunge kujiondoa kwenye vyama baada ya kumalizika kwa bunge nalo linafikirisha sana.
Saharavoice, chama kilichompa tiketi mbunge husika ndichio kinapaswa kufanya hivyo mkuu
 
Hii nchi ina maajabu sana.,pamoja na mbunge tajwa hapo juu aliekuwa akiwakilisha jimbo la ndanda kupitia chadema kutangaza kujihuzulu ubunge na kujivua uanachama wa chadema na kujiunga na CCM.,lakini bado anaendelea kupata stahiki zote kama mbunge na ndugai bado anamtambua kuwa Cecil Mwambe ni mbunge wa bunge la jamuhuri.

Kitendo cha Mwambi kuhamia ccm kilimpotezea sifa ya kuendelea kuwa mbunge .,hili la leo Spika wa Bunge amedhihirisha udhaifu alionao.,spika ni dhaifu na Bunge la 11 ni Bunge dhaifu mno katika historia ya Tanzania.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kanuni ya mabunge ya Westminster yanayopata wabunge wengi kwa watu kupiga kura kwa tiketi ya chama, kwamba mbunge wa kupigiwa kura anakaa bungeni kwa tiketi ya chama.

Kwa maana hii, mbunge akijivua uanachama wa chama chake kilichompatia ubunge, amejivua ubunge pia.

Kama anataka kurudi bungeni, inambidi agombee ubunge tena na chama chake kipya.

Nashangaa hili halijazingatiwa hapo.

Najua hata Maspika wa zamani kina Msekwa wakiulizwa hawawezi kutetea hili, kwa sababu ni kinyume na kanuni za bunge.

Katiba imeainisha aina za wabunge, huyu alikuwa mbunge wa kuchaguliwa kwa tiketi ya chama, kwa sasa kajivua uanachama na ubunge.

Sasa alichaguliwa lini kama mbunge wa CCM? Au rais alimteua lini kama mbunge?
 
Labda Supika ameshaambukizwa corona kwa hiyo anajua kinachofata
 
Kasha teuliwa na Spika Ndugai, hii nchi ukihamia CCM au kumsifia Mkuu wao utafanyiwa kila unachotaka sheria na kanuni vinasahaulika kwa muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mwaka wa tano aliyesema hakuna bungelive sababu litazuia watu kuacha kazi na kufatilia bunge,ila live zipo kwenye uzindizu atupe mrejesho sasa juu ya tija iliyopatikana baada ya kuzuia live bunge
So mpaka awe na hiyo akili
 
Anaweza pia kutangaza lakini asipeleke barua kwa maandishi, na spika sidhani kama anaweza kufanya kazi kwa verbal notice.

Kuna kitu somewhere pengine hatukijui
Kwa hiyo Mwambe ni mtoro bungeni au alijifukuza mwenyewe bungeni! Kwa hiyo spika amemuhurumia na kuamua kumwita bungeni!

Spika amejidhalilisha!
 
Inawezekana chama husika lazima kimwandikie Spika kukoma kwa uanachama wa mbunge husika (wanaojua hili wanaweza kutuambia) ndiyo maana pia nimehoji utaratibu wa mtu kuhama chama mara baada ya bunge kuisha umetokea wapi?
Naona unajitoa ufahamu kabisa
CCM isikufanye kuwa zwazwa hivyo.

Cecil Mwambi alitangaza kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na CCM, tukio lilikuwa live tena lilifanyika ofisi za CCM pale Lumumba na akapokelewa na katibu mwenezi wa CCM Humphrey Pole Pole. Baada ya hapo CHADEMA wakamwandikia barua spika wa bunge kuwa wamepoteza mbunge wao mmoja(Cecil Mwambi) kutoka chama chao. Sasa utata unatokea wapi? Kwanini spika alazimishe mambo mengine.

Sasa embu jiulize, Cecil Mwambi ni mbunge kutoka chama gani?
 
Back
Top Bottom