Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,034
- 74,732
Hapana hii watakuwa wamemsingizia au kum quote vibaya. Haiwezekani nchi kuwa na Spika mpuuzi kiasi hicho. Kwani yeye hajui kuwa Mwambe alijivua uanachama mwenyewe?
Hivi kweli Ndugai ugonjwa umekula ubongo mpaka anafanya upumbavu hadharani namna hiyo?
Na jee Naibu Spika na Katibu wa Bunge ambao pia ni wanasheria wameshindwa kumshauri kuwa hapo kajisaidia haja kubwa stand?
Kwa kweli hata lugha ya staha kwa mtu wa aina yake haimstahilli
Sent using Jamii Forums mobile app