Spika Ndugai atangaza kutambua Ubunge wa Cecil Mwambe aliyejiuzulu Ubunge na uanachama CHADEMA

Spika Ndugai atangaza kutambua Ubunge wa Cecil Mwambe aliyejiuzulu Ubunge na uanachama CHADEMA

Kuna wana nchi na wenye nchi, ukiwa upande wa wananchi we pambana japo watoto wako wapate ugali, ukichagua upande wa wenye nchi hakuna kisichoshindikana kwako. Kila iitwapo leo tunatengeneza vita kubwa kati ya hizi pande mbili, siku ili fukuto likiwashinda wanyonge nao watakapotaka kuhamia upande wa pili......Mungu wape hekima viongozi wetu watende kwa haki.
 
Saharavoice, utaratibu ni kuwa spika ndiye anaitaarifu tume
Asante Comte
Sasa nani anatakiwa kumtaarifu Spika kwa maandishi? inawezekana kuna mawasiliano hayapo hapa katikati. Hata hili swala la wabunge kujiondoa kwenye vyama baada ya kumalizika kwa bunge nalo linafikirisha sana.
 
kwani Mwambe sindo alitangaza kuhamia CCM.,kwani wabunge wengine waliokuwa wakihama walikuwa wanapewa taarifa na nani..?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
acha kutetea ujinga kaka hii nchi ni ya kwetu sote

Sent from my iPhone using JamiiForums
Muhemko wa nini? au hujaona hilo ni swali. angalia post ya Comte ujifunze kujibu na wengine waelewe pia utaratibu.
 
Hii nchi ina maajabu sana.,pamoja na mbunge tajwa hapo juu aliekuwa akiwakilisha jimbo la ndanda kupitia chadema kutangaza kujihuzulu ubunge na kujivua uanachama wa chadema na kujiunga na CCM.,lakini bado anaendelea kupata stahiki zote kama mbunge na ndugai bado anamtambua kuwa Cecil Mwambe ni mbunge wa bunge la jamuhuri.

Kitendo cha Mwambi kuhamia ccm kilimpotezea sifa ya kuendelea kuwa mbunge .,hili la leo Spika wa Bunge amedhihirisha udhaifu alionao.,spika ni dhaifu na Bunge la 11 ni Bunge dhaifu mno katika historia ya Tanzania.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Saiv ndugai anamtambua kama mbunge wa chama gani??
 
mwambe alitangaza mwenyewe kuhama chadema na kuhamia ccm..,tunaspika dhaifu na bunge dhaifu sana kuwahi kutokea kwenye historia ya Bunge la JMT

kitendo cha mbunge kuhama au kutimuliwa kwenye chama kilichompa dhamana kwa wananchi anapoteza sifa ya kuwa Mbunge....

Ndugai ameriharibu bunge sana na kulifanya kuonekana ni kituko cha karne.
Screenshot_20200506-194816.jpeg

In God we Trust
 
Kwani sheria inasemaje?
Spika hawezi kuchukua hatua mpaka tume ya uchaguzi iwe imemtaarifu kwamba jimbo fulani liko wazi kutokana na sababu tajwa.

Je, Kuna mtu ana ushahidi kwamba spika kesha taarifiwa na Tume?
Tume inahusikaje hapa? Baada ya Mwambe kuandika barua ya kujivua ubunge na uanachama wa CHADEMA ilikuwa ni wajibu wa spika kuitaarifu tume ya uchaguzi kuwa jimbo la Ndanda ni wazi. Mwambe hakujiuzulu kupitia tume bali kupitia spika!
 
Awamu ya tano iliingia na watumishi hewa na watu wakakamatwa kwa kilipa watu pesa ya umma kinyume Cha taratibu. Kama kweli alikuwa analipwa fedha ya serikali, Kama siyo leo Basi kesho utamwona kizimbani
 
kwani Mwambe sindo alitangaza kuhamia CCM.,kwani wabunge wengine waliokuwa wakihama walikuwa wanapewa taarifa na nani..?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Inawezekana chama husika lazima kimwandikie Spika kukoma kwa uanachama wa mbunge husika (wanaojua hili wanaweza kutuambia) ndiyo maana pia nimehoji utaratibu wa mtu kuhama chama mara baada ya bunge kuisha umetokea wapi?
 
Siasa za bongo vidonda vya tumbo nje nje bora niwe mpenzi mtazamaji wa futuhi
 
Tume inahusikaje hapa? Baada ya Mwambe kuandika barua ya kujivua ubunge na uanachama wa CHADEMA ilikuwa ni wajibu wa spika kuitaarifu tume ya uchaguzi kuwa jimbo la Ndanda ni wazi. Mwambe hakujiuzulu kupitia tume bali kupitia spika!
Anaweza pia kutangaza lakini asipeleke barua kwa maandishi, na spika sidhani kama anaweza kufanya kazi kwa verbal notice.

Kuna kitu somewhere pengine hatukijui
 
Ndugai ni robot, mother board inayomuongoza ni Jiwe. Yaani dume zima unakubali kushikishwa!!!
Mnalisahau liroboti lenu linalowashikisha... na kuwaamuru wabunge msiingie bungeni kwa faida ya maelekezo ya mabeberu!! ovyo kabisa nyinyi, wasomi wazima mnashikiwa akili na mchezesha santuri club!! how pathetic!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi ina maajabu sana.,pamoja na mbunge tajwa hapo juu aliekuwa akiwakilisha jimbo la ndanda kupitia chadema kutangaza kujihuzulu ubunge na kujivua uanachama wa chadema na kujiunga na CCM.,lakini bado anaendelea kupata stahiki zote kama mbunge na ndugai bado anamtambua kuwa Cecil Mwambe ni mbunge wa bunge la jamuhuri.

Kitendo cha Mwambi kuhamia ccm kilimpotezea sifa ya kuendelea kuwa mbunge .,hili la leo Spika wa Bunge amedhihirisha udhaifu alionao.,spika ni dhaifu na Bunge la 11 ni Bunge dhaifu mno katika historia ya Tanzania.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Huku Spika anakataa Barua ya Mnyika kumfuta uanachama Mwambe,

Kule Sijui mama gani yule anakubali Barua ya Katibu kata-hewa ya kumvua uanachama Mayor Jacob.

Nadhani kuna watu wanachokozwa makusudi hapa.
 
Back
Top Bottom