Spika Ndugai atangaza kutambua Ubunge wa Cecil Mwambe aliyejiuzulu Ubunge na uanachama CHADEMA

Spika Ndugai atangaza kutambua Ubunge wa Cecil Mwambe aliyejiuzulu Ubunge na uanachama CHADEMA

Awamu ya tano iliingia na watumishi hewa na watu wakakamatwa kwa kilipa watu pesa ya umma kinyume Cha taratibu. Kama kweli alikuwa analipwa fedha ya serikali, Kama siyo leo Basi kesho utamwona kizimbani

Safisha dhamira yako. Yaani una uthibitisho kuwa alilipwa kwa udanganyifu mpk unamfukuza kazi - halafu inakuchukua miaka 4 kumweka kizimbani??

Kuwe mkweli nafsini useme - mhalifu amesamehewa na mshitaki wake!!
 
Kachanganyikiwa tayari
ndugai alipokea barua ya mnyika mbona kutaarifiwa kuhusu cecil mwambe..,au hujamsikia akisema hatambui barua ya mnyika dhidi ya cecil mwambe ..

au hilo hamkuliona.?


Sent from my iPhone using JamiiForums

In God we Trust
 
Naona tuhuma tu bila ushahidi.
you are a proper jerk! a manipulable robot to be precise. Hivi huoni huu uhuni unaofanyika kwa vile unafanywa na chama chako. Nchi ikiachwa kuendeshwa na katiba madhara yake ni makubwa sana na eventually yatatuathiri wote. Grow up![emoji15][emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
you are a proper jerk! a manipulable robot to be precise. Hivi huoni huu uhuni unaofanyika kwa vile unafanywa na chama chako. Nchi ikiachwa kuendeshwa na katiba madhara yake ni makubwa sana na eventually yatatuathiri wote. Grow up![emoji15][emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
I meant "nchi ikiendeshwa bila kuzingatia katiba madhara yake ni makubwa sana...:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu kwahiyo huyu anaitwa nimbunge kupitia chama gani? Ccm au chadema
Sasa Spika atashindwaje kumtambua Mwambe wakati ni wao walifanya mpango akahamia CCM? kwanini mpaka sasa tunashindwa kutambua kwamba hatuwezi kutegemea kupata haki ya kidemokrasia kupitia kiti cha Spika?
 
Kwa Watalaamu wa Sheria tuomba mtupe japo elimu kuhusu masuala ya kisheria iwapo Mbunge anatangaza kujiuzulu Ubunge wake na kujiunga na Chama kingine,na baada ya kujiuzulu hakujafanyika Uchaguzi je anasifa ya kuwa bado Mbunge?
Screenshot_20200506-221849_Chrome.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa za nchi hii ukifuatilia sana utaumia sana roho mkuu! Tafuta ugali wa kula na watoto wako tu!
Sasa badala ulete video ya matamshi ya Spika Ndugai akitamka ili kuthibitisha ulichokiandika, wewe unaweka picha za watu waliopiga mitaani ama sebuleni kwao wakila lunch!!.

Is this an evidence?? Bure kabisa wewe. Nakupa alama 10% - "F", yaani " FAILURE"
 
Duh wanasiasa hasa waupinzan na watu wenye mawazo mbadala na wananch kwa ujumla tunapitia kpnd kigum sana

Its not over until its over...[emoji769]
Sure....... bunge hasa haya maccm limekua kama serikali ndogo hawawatetei wananchi bali matumbo yao na serikali
 
Back
Top Bottom