Spika Ndugai awaapisha Wabunge wateule wa ACT-Wazalendo. Mbunge wa ACT asema masuala ya Tanzania yatazungumzwa Tanzania na sio nje ya nchi

Unajua nimejunga leo dogo...nilipata zero kuandika..
Kwakuwa mwalimu wangu nayeye alikuwa hajui kuandika..
Soma tena ulichoandika. Huu muda unaotumia ku-comment humu kwa nini usiende kujifunza kuandika QT?
 

Wasubili tu watz sio wajinga,
Ushauri wawaongezee na viti 19 vile ,Chadema Kama chama ambacho kimesimama na wananchi ,hakina mpango na viti hivyo,maana pia chaguzi za mbele Kama tuko hai act watakuja pata haibu ya karne
 
Siku ya kumbukizi ya uhuru mwaka jana viongozi wakuu wa CDM walisafiri hadi CCM Kirumba-Mwanza.

Walipoulizwa ni uhuru upi walioenda kusherekea, wapambe walituambia walienda kufungua milango ya maridhiano.

Cha kushangaza wengine wakiridhiana,wao ndiyo wanatiririsha povu!
 

Mbunge wa ACT asema masuala ya Tanzania yatazungumzwa Tanzania na sio nje ya nchi​

Na Mwenyekiti wake alisema hivi karibuni kuwa kesi walizofungua ziko pale pale. Tumuamini nani?

Amandla...
 
🤣🤣🤣🤣😅😂
 
Maridhiano ya ACT na Ccm huko znz yamelenga nini?

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Si hasa, muda sio mrefu tutasikia kauli tata kutoka CHADEMA, kwa watendaji karibu kanda zote ilikuwa kilio cha njaa na baadhi kufikiria wakafanye shughuli nyingine.

Ruzuku tumelamba haki yetu, Makatibu wa kanda kelele hakuna na wabunge tunawaleta muda si mrefu na haki yetu pia. Tanzania oyeeeeeeeeeeeeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…