MR. IBU
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 1,380
- 2,965
Unajua nimejunga leo dogo...nilipata zero kuandika..Jifunze kuandika kabla ya ku-log in humu jf.
Kwakuwa mwalimu wangu nayeye alikuwa hajui kuandika..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua nimejunga leo dogo...nilipata zero kuandika..Jifunze kuandika kabla ya ku-log in humu jf.
Soma tena ulichoandika. Huu muda unaotumia ku-comment humu kwa nini usiende kujifunza kuandika QT?Unajua nimejunga leo dogo...nilipata zero kuandika..
Kwakuwa mwalimu wangu nayeye alikuwa hajui kuandika..
Ni YEYEEE!!Sasa hivi unacomment kinyonge sana. Ngoja nikukumbushe kipindi kile ulivyokuwa
"Mwaka huu hatutakubali"
"Lissu ndio dawa yenu"...
chadema hao waliojazana kwenye teuzi zote wakati nyie mataga mnaotea mvi hapo lumumba?Chadema mna wakati mgumu sana!
Wanalumumba wanaanza kutoana ngeoAcha kuongea Ujinga.
Hamjitambui tuuu!Anatamani ila sasa afanyàje😅😅😅
Safi kabisa ACT WAZALENDO mmeonesha njia nafikiri ufipa napo watafungua moyo...inapendeza sana hivi ndivyo inavyotakiwa kuwa.
Tukio liko mubashara TBC
Karibu.
Updates;
Jumla ya wabunge wanne wa ACT wazalendo wanakula kiapo cha uaminifu mbele ya Spika Job Ndugai.
Walioapa
1. Khalifa Mohamed Issa Mbunge wa jimbo la Mtambwe
2. Khatibu Said Hajji, Mbunge wa Jimbo la Konde
3. Omari Ali Omari wa Jimbo la Wete
4. Salum Mohammed Shafii Mbunge wa Jimbo la
=========
ACT-WAZALENDO: HATUTAKWENDA UJERUMANI WALA CANADA KULALAMIKIA MASUALA YA TANZANIA
Mbunge wa Jimbo la Konde kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Khatibu Said Hajj amesema masuala ya Tanzania yatazungumzwa Tanzania na sio nje ya nchi
Ameyasema hayo katia hafla ya uapisho wa wabunge wanne wa Zanzibar. Ambapo pia ametoa shukrani kwa Rais Hussein Mwinyi na Maalim Seif Hamad
Amesema maamuzi yaliyofanywa na viongozi wa Juu wa Chama cha ACT-Wazalendo yalikuwa ni kwa maslahi mapana ya wazanzibar na wale wanaokebehi mapatano yao wataona aibu kwa kebehi zao
Amesema Maridhiano yanapaswa kuungwa mkono na kila mtanzania badala ya kudharau mapatano hayo. Na mambo ya Zanzibar ni watanzania wote, aidha wamesahau yote yaliyotokea na kusamehewa
Wasubili tu watz sio wajinga,Tukio liko mubashara TBC
Karibu.
Updates;
Jumla ya wabunge wanne wa ACT wazalendo wanakula kiapo cha uaminifu mbele ya Spika Job Ndugai.
Walioapa
1. Khalifa Mohamed Issa Mbunge wa jimbo la Mtambwe
2. Khatibu Said Hajji, Mbunge wa Jimbo la Konde
3. Omari Ali Omari wa Jimbo la Wete
4. Salum Mohammed Shafii Mbunge wa Jimbo la
=========
ACT-WAZALENDO: HATUTAKWENDA UJERUMANI WALA CANADA KULALAMIKIA MASUALA YA TANZANIA
Mbunge wa Jimbo la Konde kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Khatibu Said Hajj amesema masuala ya Tanzania yatazungumzwa Tanzania na sio nje ya nchi
Ameyasema hayo katia hafla ya uapisho wa wabunge wanne wa Zanzibar. Ambapo pia ametoa shukrani kwa Rais Hussein Mwinyi na Maalim Seif Hamad
Amesema maamuzi yaliyofanywa na viongozi wa Juu wa Chama cha ACT-Wazalendo yalikuwa ni kwa maslahi mapana ya wazanzibar na wale wanaokebehi mapatano yao wataona aibu kwa kebehi zao
Amesema Maridhiano yanapaswa kuungwa mkono na kila mtanzania badala ya kudharau mapatano hayo. Na mambo ya Zanzibar ni watanzania wote, aidha wamesahau yote yaliyotokea na kusamehe
Wabunge 19 wa Chadema watakuwa wamefurahi sana
Na Mwenyekiti wake alisema hivi karibuni kuwa kesi walizofungua ziko pale pale. Tumuamini nani?Mbunge wa ACT asema masuala ya Tanzania yatazungumzwa Tanzania na sio nje ya nchi
WAPUKUTA VIATU WA VIONGOZI WA UFIPA POLENI.CCM B hiyo!
🤣🤣🤣🤣😅😂Siku ya kumbukizi ya uhuru mwaka jana viongozi wakuu wa CDM walisafiri hadi CCM Kirumba-Mwanza.
Walipoulizwa ni uhuru upi walioenda kusherekea, wapambe walituambia walienda kufungua milango ya maridhiano.
Cha kushangaza wengine wakiridhiana,wao ndiyo wanatiririsha povu!
Maridhiano ya ACT na Ccm huko znz yamelenga nini?Siku ya kumbukizi ya uhuru mwaka jana viongozi wakuu wa CDM walisafiri hadi CCM Kirumba-Mwanza.
Walipoulizwa ni uhuru upi walioenda kusherekea, wapambe walituambia walienda kufungua milango ya maridhiano.
Cha kushangaza wengine wakiridhiana,wao ndiyo wanatiririsha povu!
Kwani kwenye uchaguzi Mlimashinda kweli Lissu? Au mlimpora ushindi wake?Sasa hivi unacomment kinyonge sana. Ngoja nikukumbushe kipindi kile ulivyokuwa
"Mwaka huu hatutakubali"...