Spika Ndugai awaapisha Wabunge wateule wa ACT-Wazalendo. Mbunge wa ACT asema masuala ya Tanzania yatazungumzwa Tanzania na sio nje ya nchi

Unajua nimejunga leo dogo...nilipata zero kuandika..
Kwakuwa mwalimu wangu nayeye alikuwa hajui kuandika..
Soma tena ulichoandika. Huu muda unaotumia ku-comment humu kwa nini usiende kujifunza kuandika QT?
 
Tukio liko mubashara TBC

Karibu.

Updates;
Jumla ya wabunge wanne wa ACT wazalendo wanakula kiapo cha uaminifu mbele ya Spika Job Ndugai.

Walioapa
1. Khalifa Mohamed Issa Mbunge wa jimbo la Mtambwe
2. Khatibu Said Hajji, Mbunge wa Jimbo la Konde
3. Omari Ali Omari wa Jimbo la Wete
4. Salum Mohammed Shafii Mbunge wa Jimbo la

=========

ACT-WAZALENDO: HATUTAKWENDA UJERUMANI WALA CANADA KULALAMIKIA MASUALA YA TANZANIA

Mbunge wa Jimbo la Konde kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Khatibu Said Hajj amesema masuala ya Tanzania yatazungumzwa Tanzania na sio nje ya nchi

Ameyasema hayo katia hafla ya uapisho wa wabunge wanne wa Zanzibar. Ambapo pia ametoa shukrani kwa Rais Hussein Mwinyi na Maalim Seif Hamad

Amesema maamuzi yaliyofanywa na viongozi wa Juu wa Chama cha ACT-Wazalendo yalikuwa ni kwa maslahi mapana ya wazanzibar na wale wanaokebehi mapatano yao wataona aibu kwa kebehi zao

Amesema Maridhiano yanapaswa kuungwa mkono na kila mtanzania badala ya kudharau mapatano hayo. Na mambo ya Zanzibar ni watanzania wote, aidha wamesahau yote yaliyotokea na kusamehewa

Tukio liko mubashara TBC

Karibu.

Updates;
Jumla ya wabunge wanne wa ACT wazalendo wanakula kiapo cha uaminifu mbele ya Spika Job Ndugai.

Walioapa
1. Khalifa Mohamed Issa Mbunge wa jimbo la Mtambwe
2. Khatibu Said Hajji, Mbunge wa Jimbo la Konde
3. Omari Ali Omari wa Jimbo la Wete
4. Salum Mohammed Shafii Mbunge wa Jimbo la

=========

ACT-WAZALENDO: HATUTAKWENDA UJERUMANI WALA CANADA KULALAMIKIA MASUALA YA TANZANIA

Mbunge wa Jimbo la Konde kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Khatibu Said Hajj amesema masuala ya Tanzania yatazungumzwa Tanzania na sio nje ya nchi

Ameyasema hayo katia hafla ya uapisho wa wabunge wanne wa Zanzibar. Ambapo pia ametoa shukrani kwa Rais Hussein Mwinyi na Maalim Seif Hamad

Amesema maamuzi yaliyofanywa na viongozi wa Juu wa Chama cha ACT-Wazalendo yalikuwa ni kwa maslahi mapana ya wazanzibar na wale wanaokebehi mapatano yao wataona aibu kwa kebehi zao

Amesema Maridhiano yanapaswa kuungwa mkono na kila mtanzania badala ya kudharau mapatano hayo. Na mambo ya Zanzibar ni watanzania wote, aidha wamesahau yote yaliyotokea na kusamehe
Wasubili tu watz sio wajinga,
Ushauri wawaongezee na viti 19 vile ,Chadema Kama chama ambacho kimesimama na wananchi ,hakina mpango na viti hivyo,maana pia chaguzi za mbele Kama tuko hai act watakuja pata haibu ya karne
 
Siku ya kumbukizi ya uhuru mwaka jana viongozi wakuu wa CDM walisafiri hadi CCM Kirumba-Mwanza.

Walipoulizwa ni uhuru upi walioenda kusherekea, wapambe walituambia walienda kufungua milango ya maridhiano.

Cha kushangaza wengine wakiridhiana,wao ndiyo wanatiririsha povu!
 
🤣🤣🤣🤣😅😂
 
Maridhiano ya ACT na Ccm huko znz yamelenga nini?

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Si hasa, muda sio mrefu tutasikia kauli tata kutoka CHADEMA, kwa watendaji karibu kanda zote ilikuwa kilio cha njaa na baadhi kufikiria wakafanye shughuli nyingine.

Ruzuku tumelamba haki yetu, Makatibu wa kanda kelele hakuna na wabunge tunawaleta muda si mrefu na haki yetu pia. Tanzania oyeeeeeeeeeeeeeee.
 
Back
Top Bottom