Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Naona unakarili
In God we Trust
Kongwa Machame kunafanana tu kote ni porini!
In God we Trust
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kongwa Machame kunafanana tu kote ni porini!
Machame ni mjini?!Naona unakarili
In God we Trust
machame ni jimbo la wapi hilo??Ukilinganisha na jimboni...... kwa mfano Machame!
KUMBE!Spika Ndugai amewataka wabunge wafikirie kujenga nyumba jijini Dodoma badala ya kutegemea nyumba za kupanga.
Ndugai amesema hayo baada ya wabunge kudai TBA inawasumbua kuhusiana na mikataba yao ya upangaji na kuliomba bunge liwasaidie.
Spika Ndugai amewaambia wabunge wanapaswa kujenga nyumba Dodoma kwani ni mahali pazuri na kwamba hata wabunge wa Kenya wote wamejenga nyumba zao Nairobi na wabunge wote wa Uganda wanamiliki nyumba Kampala.
Ndugai amemalizia kwa kushauri kwa sababu bunge linavunjwa June 19 na wabunge wote watalipwa kiinua mgongo kizuri sana basi wamwone waziri Jaffo au Lukuvi wawape viwanja na kujenga nyumba haraka kwani kwa mbunge Dodoma ni second home.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Kwa Wabunge hubadilika, mimi ningeshauri kila Halmashauri / Jimbo la uchaguzi lipewe kiwanja lijenge nyumba kwa ajili ya kumpangishia Mbunge wake na hiki kitakuwa ni chanzo cha mapato cha kudumua kwa halmashauri husika,Spika Ndugai amewataka wabunge wafikirie kujenga nyumba jijini Dodoma badala ya kutegemea nyumba za kupanga.