chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Hapa napata picha, ukifanya mambo ya kijinga, basi usijifanye unamawazo tofauti, kaa kimya sababu hauna dhamani ya kukosoa wala kushauri, na wengi wanakuona mjinga hivyo watakupinga tu hata kama unapointi, hayo ni madhara ya Covid-19, kuiba kura na kuingiza Covid-19 bungeni kumekushusha sana!