Kabwe Katali
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 475
- 934
Sio kweli kwamba unaandikwa vibaya kwa sababu wewe ni mgogo na wala hakuna anayewadharau wagogo ni wewe mwenyewe na matendo yako yanakufanya udharauliwe.unafanya vitu vya ajabu sana huko bungeni.SPIKA NDUGAI: KUTOKANA NA MAZOEA YA WAGOGO KUDHARAULIKA NDIO KINACHOSABABISHA MIMI KUSHAMBULIWA MITANDAONI
"Kuna baadhi wananiandika vibaya kila kukicha, sio kwa sababu nina pungufu lolote, ni kwa sababu mimi ni Mgogo, dharau hii!" Job Ndugai, Spika wa Bunge
#MkutanoMkuuwaWagogo
View attachment 2061957
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app